Vijana fanyeni mazoezi

Vijana fanyeni mazoezi

We Nyumbu kweli , hiyo Petrol utaitumia kwenye kazi yako ya bodaboda baada ya kujificha juu ya dari kwanzia alfajiri ya saa 10 hadi saa mbili usiku siku ya tarehe 29
 
Demu kama demiss (Demi) anaulizia helmet inauzwa wapi. Halafu kengemaji moja inazuia maandamano na kusapoti usenge unaoendelea .... mamaaaaaaeeeeh watu wengine kichwani wana matope kabisa.
 
Tuko pamoja kaka. Tunaendelea kupasha, tuone kati ya askari na wananchi, ni wapi wenye nguvu zaidi. Tukutane tarehe 29 October.
 
Demu kama demiss (Demi) anaulizia helmet inauzwa wapi. Halafu kengemaji moja inazuia maandamano na kusapoti usenge unaoendelea .... mamaaaaaaeeeeh watu wengine kichwani wana matope kabisa.
Ndugu. Mimi ni Demi na sio Demmis, pia nimeuliza kuhusu Element,kama ni helmet najua zinapopatikana
 
Element mbona sio hata za kununua ili uzipate, kila mtu anazo zimejaa, Mwili wa mtu, hewa anayovuta na kuipumua, Chakula n.k ni muunganiko wa Element mbali mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom