Vijana angalieni sana, Usalama wa Taifa sio filamu ya 007 au Bourne Identity

Oct 16, 2020
92
196
Mara nyingi nikiwa chuo na vijana wenzangu nasikia wanatamani kuwa Usalama wa Taifa. Lakini ukiwauliza kwa makini kwanini unataka kuwa huko, utasikia napenda zile hekaheka, kuishi na fake identity, kutumia ma gadgets na kadhalika.

Jamani mlioko huko hebu muwape uhalisia hawa vijana wenzetu kuwa TISS sio movie.
 
TISS hawana uniform hao Kaunda suti ni wapenda masifa tu,hivyo msiokuepo kwenye hiyo kitu wewe jua ni usiku wa Giza tuu
 
Mara nyingi nikiwa chuo na vijana wenzangu nasikia wanatamani kuwa Usalama wa Taifa. Lakini ukiwauliza kwa makini kwanini unataka kuwa huko, utasikia napenda zile hekaheka, kuishi na fake identity, kutumia ma gadgets na kadhalika.

Jamani mlioko huko hebu muwape uhalisia hawa vijana wenzetu kuwa TISS sio movie.
Mimi katika scene ambayo siiwezi kwny hii idara ni ile ya Majalalani
 
Mara nyingi nikiwa chuo na vijana wenzangu nasikia wanatamani kuwa Usalama wa Taifa. Lakini ukiwauliza kwa makini kwanini unataka kuwa huko, utasikia napenda zile hekaheka, kuishi na fake identity, kutumia ma gadgets na kadhalika.

Jamani mlioko huko hebu muwape uhalisia hawa vijana wenzetu kuwa TISS sio movie.
TISS hakuna kitu mzee.

Ni raia tu wenye leseni ya kukaa na vifaa vingine ambavyo raia wengine hawaruhusiwi kuwa navyo. Period

Hawana maajabu yoyote.
 
Back
Top Bottom