Vijana ajira zipo tuache uvivu

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
May 4, 2022
1,181
1,574
Hali zenu ndugu zangu!

Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.

Mimi ni graduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i remember mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.

Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.

Tuache kulalamika.!
 
And you 'greduated' from which university!! sema nini home boy siku nyingine ukitaka kufikisha ujumbe kwa umma basi kuwa na utulivu kwanza.Uzembe kama huu ndio unapelekea wale waliotangulia kusoma elimu za kikoloni wanaleta kejeli kwa 'greduate' wa sasa.Sema nini Asante kwa kuwakumbusha
 
"Are you graduated" ....naona graduate wa siku hizi umemkosoa graduate wa siku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.

Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.

Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.

Tuache kulalamika.!
Kwahiyo hutaajiri vijana kwenye biashara zako tajiri?
 
Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.

Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.

Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.

Tuache kulalamika.!
Je umeshaanza hiyo biashara halafu uone mambo yanakuwaje? Unafikiri kila mtu anaweza kupata mtaji wa biashara kama wewe?
 
Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.

Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.

Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.

Tuache kulalamika.!
unataka kila mtu afuate njia zako ambazo hazijaanza hata kuonesha matunda...? 🤔
 
Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.

Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.

Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.

Tuache kulalamika.!
Thread 'Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi' Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi

Una SAFARI NDEFU KIUCHUMI.
 
Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.

Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.

Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.

Tuache kulalamika.!
Kwahiyo wewe umekataa kazi..soon utaenda kuomba ushauri kwa dc wa kisarawe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.

Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.

Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.

Tuache kulalamika.!
sawa i rebermber
natafuta maana halisi ya graduate ni mtu mwenye elimu gani then ntarud
 
Back
Top Bottom