Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,913
Hivi ni graduand au graduatesawa i rebermber
natafuta maana halisi ya graduate ni mtu mwenye elimu gani then ntarud

Bongo bhana
Hivi ni graduand au graduatesawa i rebermber
natafuta maana halisi ya graduate ni mtu mwenye elimu gani then ntarud


Wanapaswa kuelewa, Graduate ni mwenye degree tu😂 ,ukute kamemaliza cheti kanajiita graduatemaake hapo kwanza ncheke, ugraduate umevamiwa sana siku hizi, kila mtu mimi ni graduate
![]()
Aisee hahaha bongo hatari sanaThread 'Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi' Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi
Una SAFARI NDEFU KIUCHUMI.
Teh teh teh 😂😂 nyie raia mna vituko sana teh teh 😂😂😂Thread 'Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi' Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi
Una SAFARI NDEFU KIUCHUMI.
mbona hatujamusoma sasa hapo umeandika makitu gani?Hali zenu ndugu zangu!
Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.
Mimi ni graduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i remember mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.
Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.
Tuache kulalamika.!
Haya ni maneno mawili tofauti.Graduand ni mwanafunzi ambaye kakizi vigezo katika kozi aliyesomea lakini bado tu kutambuliwa rasmi(i.e before they are awarded certificates) wakati graduate ni mwanafunzi ambaye tayari anatambulika kuwa kasomea kitu fulani katika chuo husika na kapatiwa cheti cha kuhitimuHivi ni graduand au graduate
Bongo bhana