Vigogo wazidi kutia mguu loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo wazidi kutia mguu loliondo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Apr 9, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Uhusiano na Utaratibu) Steven Wassira na Mbunge wa Musoma vijijini Nimrod Mkono (kulia) wakinywa dawa kwa mchungaji Ambilikile Mwasapila katika kijiji cha Samunge, Loliondo wilaya ya Ngorongoro.Picha na Fidelis Felix​


  Source: JESUS IS LORD
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wacha wanywe ile dawa ni ya ukweli,nimepata kikombe nimeamini matokeo yake, na wakati nilikuwepo babu alisema tumtumie salamu kakobe na wingira kuwa wasome bibilia vizuri akatoa na mstari kutoka mt 10;10 na pia akamtaka RA kuwa anajua yeye ndiye wakala wa ARV hivyo mwisho wa watz kuzitumia ni huu
   
 3. k

  kituro Senior Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu mstari hapo kwenye nyekundu unasema hivi ``wala mkoba wa safari, wala kanzu mbili,wala viatu, wala fimbo; maana mtenda kazi astahili posho lake.
  je babu anasema maana yake ni nini? au anataja tu ili watu waongeze vifungu vya kusoma?
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hivi nchi nzima ni wagonjwa??!!!
   
 5. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,057
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Ni dalili za kukosa matumaini kwahiyo watu wanatafuta matumaini kwenye kikombe. Pole zao kwasabau hakuna uzima huko.
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mkuu Aswad band, leo hii ndo unajua kuwa nji yote ya Tanzania ni wagonjwa?!:tape:
   
Loading...