Vigogo wa CCM waliozushiwa kuhama watema nyongo

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,878
Reaction score
5,765
1. Mimi ni mwana CCM , hivyo sioni sababu ya kuhama kutoka kwenye chama hicho. Nikitoka hapa niende wapi? Niwahakikishie nitabaki CCM. Itakuwa ni kuvunja recodi ya Dunia kuhama kutoka chama imara na madhubuti na kuhamia chama kinachoelekea kufa-Emmaniel Nchimbi

2. Nakiri kumuunga mkono Lowassa, lakini siwezi kuhama kutoka CCM kwenda CHADEMA, chama ambacho hawajitambui- Balozii Mwapachu.

3. Ni kweli nahama, lakini nahama kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini kwetu Lufilyo Busekelo. Ni kweli CCM walinikwaza, lakini siwezi kujidhalilisha kuhamia Chadema, chama ambacho siku zote nimehubiri kuwa ni wababaishaji-Prof. Mark Mwandosya.

4. Ni kweli nimefuatwa na vigogo wa CHADEMA wakiniomba nijiunge nao ili kuleta mabadiliko. Nimewajibu mabdiliko ya kweli yataletwa na Magufuli na siyo Lowassa, TULIFANYA MAKOSA MAKUBWA KUTOKA KIKAONI, TULIONA DALILI ZA MTU KUANDALIWA, TULIOMBA MSAMAHA NA MAISHA YANAENDELEA , LAKINI NAFURAHI ULE MGOMO WETU ULISAIDIA KUWAFANYA CCM KUCHAGUA MGOMBEA MWENYE SIFA-Sofia Simba.

Chanzo: Jambo leo

Tafakuri: kutofutiana ni jambo la kawaida, wanasiasa hawa wameonesha wakomavu wa siasa sana, Jambo moja muhimu la kujifunza hapa ni KATIKA SIASA KAMA HAUNA UCHU WA MADARAKA LAZIMA UWE WA KUKUBALI HALI( YOU MUST BE FLEXIBLE).

Nadiriki kusema wote kutoka ndani ya CCM na nje ya CCM kuhama kwa sababu tu ya kukatwa wewe, ndugu yako au hata rafiki yako kwenye ngazi yoyote ile, iwe urais, ubunge, udiwani au hata uenyekiti wa kitongoji hakuna jina mbadala linalokufaa zaidi ya MWENYE UCHU WA MADARAKA. Kamwe viongozi wa aina hii ni wa kuogopa kama Ukoma.

Hongereni sana, Prof. M. Mwandosya, Dk. Emmanuel Nchimbi, Balozi Mwapachu na Mama Sofia Simba
20151003_095912.jpg
 
Mbowe atajieleza kwa kamati kuu kuwa lowasa ni asset au liability!!
 
Hii habari haina mvuto. Gonga push ups mbili😂😂😂
 
Lowassa ashtakiwe kwa wanachama CHADEMA kwa kujipatia ugombea uraisi kwa njia ya ulaghai.Aliwaambia anahamia CHADEMA na vigogo kibao.Kumbe ilikuwa ni ahadi hewa kama ile ya safari ya matumaini hewa aliyotoa ndani ya CCM!
 
kweli nyie mazuzu, uzishi mlitunga wenyewe, saiv mnakanusha wenyewe.ccm out
 
gazet gani vile???????????

walitegemea JAMBO LEO liandikaje, nimesoma kwa kina meseji ya Mwapachu, mimi si cdm wala ccm, mapachu aliongea na chozi lilinitoka, mleta uzi na mwandishi wa habari hii hana akili, ni dhalimu

Mujitahidi kutoamini kila kinachoandikwa magazetini na waha wakina TATAMADIBA wanaokoi na kupesti hata PHD zao hazina mashiko

utasikia "..congregation ,,coco liko sijui nini...)
 
1. Mimi ni mwana CCM , hivyo sioni sababu ya kuhama kutoka kwenye chama hicho. Nikitoka hapa niende wapi? Niwahakikishie nitabaki CCM. Itakuwa ni kuvunja recodi ya Dunia kuhama kutoka chama imara na madhubuti na kuhamia chama kinachoelekea kufa-Emmaniel Nchimbi
2. Nakiri kumuunga mkono Lowassa, lakini siwezi kuhama kutoka CCM kwenda CHADEMA, chama ambacho hawajitambui- Balozii Mwapachu.
3. Ni kweli nahama, lakini nahama kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini kwetu Lufilyo Busekelo. Ni kweli CCM walinikwaza, lakini siwezi kujidhalilisha kuhamia Chadema, chama ambacho siku zote nimehubiri kuwa ni wababaishaji-Prof. Mark Mwandosya.
4. Ni kweli nimefuatwa na vigogo wa CHADEMA wakiniomba nijiunge nao ili kuleta mabadiliko. Nimewajibu mabdiliko ya kweli yataletwa na Magufuli na siyo Lowassa, TULIFANYA MAKOSA MAKUBWA KUTOKA KIKAONI, TULIONA DALILI ZA MTU KUANDALIWA, TULIOMBA MSAMAHA NA MAISHA YANAENDELEA , LAKINI NAFURAHI ULE MGOMO WETU ULISAIDIA KUWAFANYA CCM KUCHAGUA MGOMBEA MWENYE SIFA-Sofia Simba.

source: Jambo leo.

Tafakuri: kutofutiana ni jambo la kawaida, wanasiasa hawa wameonesha wakomavu wa siasa sana, Jambo moja muhimu la kujifunza hapa ni KATIKA SIASA KAMA HAUNA UCHU WA MADARAKA LAZIMA UWE WA KUKUBALI HALI( YOU MUST BE FLEXIBLE). Nadiriki kusema wote kutoka ndani ya CCM na nje ya CCM kuhama kwa sababu tu ya kukatwa wewe, ndugu yako au hata rafiki yako kwenye ngazi yoyote ile, iwe urais, ubunge, udiwani au hata uenyekiti wa kitongoji hakuna jina mbadala linalokufaa zaidi ya MWENYE UCHU WA MADARAKA. Kamwe viongozi wa aina hii ni wa kuogopa kama Ukoma.

Hongereni sana, Prof. M. Mwandosya, Dk. Emmanuel Nchimbi, Balozi Mwapachu na Mama Sofia Simba
View attachment 294008

wewe ni zezeta usiyejua siasa,kutokuhama chama kama unaona chama chenyewe ni cha mapanya buku ni kujifanya taahira,ccm ni panya buku husakura kila kitu na kutuacha malofa na wapumbavu.ni swahiba wako nape ndo panya namba moja
 
Hili halina ubishi wapo kimwili na kimaslahi lakini mioyo yao yote ipo kwa Ngoyai!!
 
Mchana tuko nao
lakini usiku hatuko nao.
Ni bora wabaki huko huko ili watusaidie kuzuia goli la MKONO
 
Hao nafikiri walikuwa wanapima upepo, ungemvumia vyema Lowasa wangehama. Lakini sasa wameshaona no way
 
Namuunga MKONO Lowasa lakini na baki kuwa mwana ccm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kura yake na familia yake kwa Lowasa then CCM anabaki ili biashara na shughuli zake zisifuatwe na Serikali hii kwa sasa.:bowl:
 
1. Mimi ni mwana CCM , hivyo sioni sababu ya kuhama kutoka kwenye chama hicho. Nikitoka hapa niende wapi? Niwahakikishie nitabaki CCM. Itakuwa ni kuvunja recodi ya Dunia kuhama kutoka chama imara na madhubuti na kuhamia chama kinachoelekea kufa-Emmaniel Nchimbi

2. Nakiri kumuunga mkono Lowassa, lakini siwezi kuhama kutoka CCM kwenda CHADEMA, chama ambacho hawajitambui- Balozii Mwapachu.

3. Ni kweli nahama, lakini nahama kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini kwetu Lufilyo Busekelo. Ni kweli CCM walinikwaza, lakini siwezi kujidhalilisha kuhamia Chadema, chama ambacho siku zote nimehubiri kuwa ni wababaishaji-Prof. Mark Mwandosya.

4. Ni kweli nimefuatwa na vigogo wa CHADEMA wakiniomba nijiunge nao ili kuleta mabadiliko. Nimewajibu mabdiliko ya kweli yataletwa na Magufuli na siyo Lowassa, TULIFANYA MAKOSA MAKUBWA KUTOKA KIKAONI, TULIONA DALILI ZA MTU KUANDALIWA, TULIOMBA MSAMAHA NA MAISHA YANAENDELEA , LAKINI NAFURAHI ULE MGOMO WETU ULISAIDIA KUWAFANYA CCM KUCHAGUA MGOMBEA MWENYE SIFA-Sofia Simba.

Chanzo: Jambo leo

Tafakuri: kutofutiana ni jambo la kawaida, wanasiasa hawa wameonesha wakomavu wa siasa sana, Jambo moja muhimu la kujifunza hapa ni KATIKA SIASA KAMA HAUNA UCHU WA MADARAKA LAZIMA UWE WA KUKUBALI HALI( YOU MUST BE FLEXIBLE).

Nadiriki kusema wote kutoka ndani ya CCM na nje ya CCM kuhama kwa sababu tu ya kukatwa wewe, ndugu yako au hata rafiki yako kwenye ngazi yoyote ile, iwe urais, ubunge, udiwani au hata uenyekiti wa kitongoji hakuna jina mbadala linalokufaa zaidi ya MWENYE UCHU WA MADARAKA. Kamwe viongozi wa aina hii ni wa kuogopa kama Ukoma.

Hongereni sana, Prof. M. Mwandosya, Dk. Emmanuel Nchimbi, Balozi Mwapachu na Mama Sofia Simba
View attachment 294008

Hakuna mwenye madhambi anayeweza kuondoka chimbo; huko ndio kuna ulinzi madhubuti wa maovu yote yanayotendwa katika taifa hili
 
Kwanza hizi Thiredi

edi wanaanzisha Magamba Na kujibu wao. Wenyewe

Pili hata. Suimaye alikanusha

TATU Hakuna anayemsubiri MTU!!!!!?
 
Back
Top Bottom