Vigogo wa CCM Iringa wazidi kuvua gamba

Hongera zitto,

Mtoa mada, wananchi kuhama toka CCM kwenda vyama vingine vya upinzani sio Breaking news, kwa kuwa CCM ilikuwapo kabla ya hivyo vyama, hivyo kwa muono wa kawaida baada ya mfumo wa vyama vingi ni lazima watoke watu toka CCM waingine vyama vingine.

Jikiteni katika kutafuta wanachama wapya, Kuna watu wengi sana TZ hawana vyama.



Ni hayo tu

Tume ya katiba
Chumbuni, Jamuhuri ya watu wa Zanzibar

Hawa wanaotoka CCM wakija CDM ni wapya, we UAMSHO vipi bana. Hao ambao hawana vyama nao wanakuja na wengine wanabakia kuwa wapenzi, upo hapo?
 
POLE SANA TUME YA KATIBA na kesho NEPI naye yuko huku na mkutano wake na bahati mbaya wananchi wamepanga kwenda kwenye mkutano wake wakiwa wameshika vichwa huku wanalia..magamba mna tabu sana mwaka huu hasa huku kusini
Mkuu ni nchi nzima labda bado zanzibar ninavyoandika
moto uliowashwa huko mtara na Lindi bado una waunguza leo kuna wengine wamerudisha kadi za CUF na kuhamia chadema, mwanza, Bukoba kazikazini usipime.....
 
Mkuu Mgombea ubunge wa CCM dhidi ya Msigwa hapo Iringa Mjini si alikuwa Mama Monica Mbega? Huyo unayesema alikuwa mgombea ubunge mbona siyo Monica? Au alikuwa kwenye kura za maoni pamoja na akina Mwakalebela? Lete habari zilizohaririwa mkuu. Tupashe.

Hapo ndipo unatakiwa utumie akili yako na uchanganye na za mbayuwayu ili ufahamu kuwa hii habari haina ukweli wowote zaidi ya upotoshaji.
The unseen is illustrated by the seen.
 
waliovua GAMBA na KUVAA GWANDA ni
1) KATIBU MWENEZI WA CCM IRINGA VIJIJINI(kilolo) bwana YOHANA MVENA
2)ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE CCM IRNGA MJINI DHIDI YA MSIGWA (jina nimeshindwa kulidaka vizuri)
3)MJUMBE BARAZA LA UTEKELEZAJI la vijana Iringa vijijini MICHAEL MVILA (aliyetembea kwa mguu toka iringa vijijin mpaka hapa mkutanoni kusaka kadi ya CDM)
4)KATIBU WA UMOJA WA VIJANA CCM SINGIDA(jina nimeshindwa kulidaka vizuri)
5) KADA NA MSOMI MAARUFU WA CCM mjini iringa DR LUGAZILA

Tafadhali sana Badili hapo kwenye red utapotosha umma. Huyu mama kuhama CCM hiwezekani. tunasiri zote sisi kuhusu huyu mama.
 
Hongera zitto, Mtoa mada, wananchi kuhama toka CCM kwenda vyama vingine vya upinzani sio Breaking news, kwa kuwa CCM ilikuwapo kabla ya hivyo vyama, hivyo kwa muono wa kawaida baada ya mfumo wa vyama vingi ni lazima watoke watu toka CCM waingine vyama vingine. Jikiteni katika kutafuta wanachama wapya, Kuna watu wengi sana TZ hawana vyama. Ni hayo tu Tume ya katiba Chumbuni, Jamuhuri ya watu wa Zanzibar
POLE SANA TUME YA KATIBA na kesho NEPI naye yuko huku na mkutano wake na bahati mbaya wananchi wamepanga kwenda kwenye mkutano wake wakiwa wameshika vichwa huku wanalia..magamba mna tabu sana mwaka huu hasa huku kusini
 
sijui 2015 itakuwaje,ngoja tusubiri
wote hatujui ukweli 2015 itakuwaje maana CHADEMA sijui wameandaa mazingira gani ya kuwapokea hawa magamba? msafara wa mamba kuna nyoka mijusi nk kwa hiyo chadema inatakiwa kuwa makini sana unajua kuna wananchi wengine hupenda sifa tu kupanda jukwaani ili onekane na ashangiliwe kuwa ni mwanademokrasia ila ukweli wakiondoka tu bado gamba analo mwilini.

Hapo inatakiwa kuwa makini sana katika hilo. maana kuna wimbi kubwa sana nahisi linakuja ndani ya chadema na wengi wao fikra zao na mitazamo yao kuwa wakija watapata vivyeo na maslahi mazuri sasa wakikuta tofauti hapo mziki unakuja wanageuka kama wakina shibuda kwahiyo inabidi waandaliwe kisaikolojia kuwa ukija ndani ya chadema usitegemee kupata chochote zaidi ya wewe ndio uwe tegemeo lao katika ukombozi wa democrasia.

Maana naona dalili nyingi za vigogo wa serikalini wakitoa matamko mazuri kwa chadema hilo sio jambo la kufurahisha hata kidogo hao wanania kubwa sana mbele yao kwahiyo inabidi wawe makini
 
Katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika leo hapa KATA YA KIHESA mjini IRINGA chini ya makamanda ZITTO KABWE, MCHUNGAJI MSIGWA, OLLE MILYA , ALLY BANA na makamanda wengine hali ya ccm imezidi kuwa mbaya baada ya vigogo mbalimbali wa chama hicho mkoani hapa kuzidi kukikimbia

waliovua GAMBA na KUVAA GWANDA ni
1) KATIBU MWENEZI WA CCM IRINGA VIJIJINI(kilolo) bwana YOHANA MVENA
2)ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE CCM IRNGA MJINI DHIDI YA MSIGWA (jina nimeshindwa kulidaka vizuri)
3)MJUMBE BARAZA LA UTEKELEZAJI la vijana Iringa vijijini MICHAEL MVILA (aliyetembea kwa mguu toka iringa vijijin mpaka hapa mkutanoni kusaka kadi ya CDM)
4)KATIBU WA UMOJA WA VIJANA CCM SINGIDA(jina nimeshindwa kulidaka vizuri)
5) KADA NA MSOMI MAARUFU WA CCM mjini iringa DR LUGAZILA

kwa kifupi watu walikua wengi sana mpaka barabarani na imebidi askari wa usalama kuingilia kati ili kuweza kusaidia magari kupita kutokana na wingi wa watu

katika hoja nzito za bwana KABWE alizozitoa mkutanoni ni pamoja na kupinga bajeti ya mwaka huu bungeni na kuikwamisha kwani imekiuika mapatano ya bunge na kamati za bunge kama yalivyopendekezwa wakati bado MKULO akiwa waziri wa fedha.

PICHA ZITAKUJA SOON
pamoja sana wakuu

YAH: UPOTOSHAJI WA TAARIFA:

Taarifa kwamba mama mbega amehamia CDM ni taarifa ya kupikwa na yenye uongo wa hali ya juu.
Kama mwananchi wa kawaida, nakiri kuchukizwa sana na tabia hii inayoonyeshwa na wana chadema iwe kwa kutumwa au kwa utashi wao binafsi.

Nchi haitajengwa kwa kupotosha umma

Tume ya katiba, 4:01 PM
 
yah: Upotoshaji wa taarifa:

taarifa kwamba mama mbega amehamia cdm ni taarifa ya kupikwa na yenye uongo wa hali ya juu.
Kama mwananchi wa kawaida, nakiri kuchukizwa sana na tabia hii inayoonyeshwa na wana chadema iwe kwa kutumwa au kwa utashi wao binafsi.

Nchi haitajengwa kwa kupotosha umma

tume ya katiba, 4:01 pm

pole sana tume ya katiba nimefanya marekebisho tayari ila all in all wamavua gamba tayari pamoja na wananchi kibao idadi sijaijua vizuri
 
ccm imekwisha hoja zake za ukanda zimekosa mshiko watafute lingine, CDM mpaka kieleweke
 
Saaaaaaaaaaaaaaafi,sana makamanda,endelezeni mtanange nguvu ya uma tunawasapoti.
 
M4C!
Kanyaga twendeeeeeeee!!!!

Mpaka kielewekeeeeeeeeee!!!!
Na ningeomba baada ya hapo Iringa hawa Makamanda wapande mpk huku kaskazini mwa Nchi hapa Wilaya ya Arusha kwa huyu fisadi mkubwa anayejiita Ole Medeye!

Wanainchi kila kukicha ni kilio kwake!

Mi nafikiri 2015 ni mbali kwa hawa mafisadi kuachia madaraka wanayong'ang'ania kama makupe.
 
Back
Top Bottom