Vigogo tisa NHIF watumbuliwa

Mkuu hivi kadi ya nhif inafanya coverage kwa magonwa yepi? je oparesheni imo

Operation nyingi NHIF wana cover, but again kuna hosp. mfano Agha Khan, watu wote wa NHIF hawapati huduma Agha Khan zote... hapo ndio unajiuliza SERIKALI thru NHIF, wizara ya Afya waneshindwa kuwabana Agha Khan wawatibu wananchi kupitia NHIF.. sbb mwanzoni walikuwa wanatibu, ghafla wakasitisha..!! Agha Khan ni jipu sana, Serikali ingetakiwa iwakomalie..!!

Magonjwa mengi tu hasa yale ambayo si ya mara kwa mara NHIF hawalipii... inaudhi sana
 
Acha politics... nenda pale Regency MC, kisha kapime HIV, uje useme hapa, kwnn wanalipisha..? Sera unajua ww.. it doesn't work there... si uko Dar, go now..!! Sh. 13,900 na bima ya Afya hawalipii..!!

Wee unaongea policies/sera, mm nakwambia what is really happening....!! Ur talking THEORY... am telling you a PRACTICAL thing...!!
Harudi tena, anaona kila kitu ni siasa.
 
Umefwatilia kujua kwa nini hawatibu,usiseme tu ni jibu kama huna facts. NHIF ni bima ya afya na inaingia contract na hospital zote kukubaliana ni magonjwa yapi watatibu na kwa gharama kiasi flani. Sasa kama NHIF hawalipi gharama walizokubaliana na hospitali husika,hiyo hospitali ipo huru kujitoa kwenye hiyo biashara. Sometime NHIF wanachelewesha malipo hadi miezi 3-6 unategemea hospitali husika itaendeshaje shughuli zake.
 
Simamisha, timua, fukuza haijawahi kuwa dira ya kukuza uchumi!
Huwezi kukuza uchumi pasipo watu kuelewa maana ya nidhamu maishani mwao. Hivyo timua inasaidia katika kujenga fikra za kutobweteka kwa yoyote yule mwenye dhamana fulani.
 
Umefwatilia kujua kwa nini hawatibu,usiseme tu ni jibu kama huna facts. NHIF ni bima ya afya na inaingia contract na hospital zote kukubaliana ni magonjwa yapi watatibu na kwa gharama kiasi flani. Sasa kama NHIF hawalipi gharama walizokubaliana na hospitali husika,hiyo hospitali ipo huru kujitoa kwenye hiyo biashara. Sometime NHIF wanachelewesha malipo hadi miezi 3-6 unategemea hospitali husika itaendeshaje shughuli zake.

Uko sahihi kwa 50%... ni kweli NHIF ni jipu kwa hilo la kuchelewesha malipo wakati watumishi wa umma wanalipa KWA WAKATI MALIPO YAO.. NHIF sometimes wanchelewesha kulipa hosp...

But kuna kitu hujaangali, ume focus one sided tu.. tht's is way i give you 50%... NHIF walivunja mkataba na Agha Khan sbb gani..? Sio malipo kuchelewa.. ni GHARAMA ZA MALIPO YA AGHA KHAN.. sijui kama unanielewa..!!

Eg.. Malaria unapima eti 4000, vipimo vyao Agha Khan ni mara mbili karibu ya hosp. zingine.. hata gharama zao ziko juu sana sana kuliko hosp. zingine zote, almost double the cost of medical treament za hosp. zingine.. huu ndio wizi tunaokataa..!! Haiwezekani Hosp. ya Agha Khan itibu matajiri tu... Gharama zao ni mbaya sana, na Serikali inaangalia tu.. wangetakiwa wapewe onyo kali na gharama za vipimo, dawa na matibabu iwe REASONABLE... sio wana inflate tu gharama za matibabu hovyo.. ni ghali sana Agha Khan... huu ni wizi..

Mfano: Agha Khan wanawatibu wabunge tu... sbb wana fedha...!! hii haikubaliki...!! Kama hawataki wafunge hosp. yao... wananchi wetu ni maskini... bei zao wapeleke kwao huko..!! Hili ni jipu
 
Operation nyingi NHIF wana cover, but again kuna hosp. mfano Agha Khan, watu wote wa NHIF hawapati huduma Agha Khan zote... hapo ndio unajiuliza SERIKALI thru NHIF, wizara ya Afya waneshindwa kuwabana Agha Khan wawatibu wananchi kupitia NHIF.. sbb mwanzoni walikuwa wanatibu, ghafla wakasitisha..!! Agha Khan ni jipu sana, Serikali ingetakiwa iwakomalie..!!

Magonjwa mengi tu hasa yale ambayo si ya mara kwa mara NHIF hawalipii... inaudhi sana
Walicommit fraud.
 
Uko sahihi kwa 50%... ni kweli NHIF ni jipu kwa hilo la kuchelewesha malipo wakati watumishi wa umma wanalipa KWA WAKATI MALIPO YAO.. NHIF sometimes wanchelewesha kulipa hosp...

But kuna kitu hujaangali, ume focus one sided tu.. tht's is way i give you 50%... NHIF walivunja mkataba na Agha Khan sbb gani..? Sio malipo kuchelewa.. ni GHARAMA ZA MALIPO YA AGHA KHAN.. sijui kama unanielewa..!!

Eg.. Malaria unapima eti 4000, vipimo vyao Agha Khan ni mara mbili karibu ya hosp. zingine.. hata gharama zao ziko juu sana sana kuliko hosp. zingine zote, almost double the cost of medical treament za hosp. zingine.. huu ndio wizi tunaokataa..!! Haiwezekani Hosp. ya Agha Khan itibu matajiri tu... Gharama zao ni mbaya sana, na Serikali inaangalia tu.. wangetakiwa wapewe onyo kali na gharama za vipimo, dawa na matibabu iwe REASONABLE... sio wana inflate tu gharama za matibabu hovyo.. ni ghali sana Agha Khan... huu ni wizi..

Mfano: Agha Khan wanawatibu wabunge tu... sbb wana fedha...!! hii haikubaliki...!! Kama hawataki wafunge hosp. yao... wananchi wetu ni maskini... bei zao wapeleke kwao huko..!! Hili ni jipu

Nikuulize kwanini lazima mtu aende Agakhan kama hana uwezo? Na kwanini washushe bei na kushusha standard walioweka kwenye hospitali yao ili nani afaidike? Na wanaowalipa mishahara kwa huduma nzuri ya class walioiweka inayovutia wateja, nani atawalipa hiyo fidia kama pesa zitakuwa haziingii ipasavyo?

Inajulikana hii kitu ya hospitali private zipo na haiwezi kushushwa kwa sababu ya wengine sababu hospitali zingine zipo.

Kama alivyosema mdau hapo juu, hiyo ya serikali kutuma wagonjwa ni sawa sehemu nyingi hufanya hivyo, kama wao hawapati waliyokubaliana ni sawa wao kujitoa ili waweze kuendeleza huduma na vifaa vyao viweze kufanya kazi wanayoitaka na sio kuishiwa kisa bure au bei cheee.

Ndio maisha asienacho ataenda anapopaweza, walionacho nao wataenda wanapopaweza. Wa bima wataenda wanapopokelewa pia.
 
Acha politics... nenda pale Regency MC, kisha kapime HIV, uje useme hapa, kwnn wanalipisha..? Sera unajua ww.. it doesn't work there... si uko Dar, go now..!! Sh. 13,900 na bima ya Afya hawalipii..!!

Wee unaongea policies/sera, mm nakwambia what is really happening....!! Ur talking THEORY... am telling you a PRACTICAL thing...!!
Bima nyingi huwa wana avoid kucover magonjwa ya zinaa. Sasa inategemea contract kati yao ipoje, iatoshe, nhif ingekuwa Ni mfano wa kuigwa sub Saharan Africa, wanacover mpaka operesheni za mamilioni kwa watu maskini. Kulalama lalama kwa vitu vidogo Tena vya bure haisaidii, angalia makubwa pia wanayofanya
 
Acha politics... nenda pale Regency MC, kisha kapime HIV, uje useme hapa, kwnn wanalipisha..? Sera unajua ww.. it doesn't work there... si uko Dar, go now..!! Sh. 13,900 na bima ya Afya hawalipii..!!

Wee unaongea policies/sera, mm nakwambia what is really happening....!! Ur talking THEORY... am telling you a PRACTICAL thing...!!
Bima ya Afya ulijaa wizi mtu. POLICY yake lazima ibadilishwe. Msingi wa NHIF ni kutoa bima ya afya. Na watu wanachangia kwa dhumuni hilo tu no more no less. Matokeo yake ukienda na kadi ya bima hospitali kutibiwa unaambiwa kuwa ugonjwa huu lazima ulipe cash bima haihusiki ktk aina hii ya ugonjwa. Je BIMA YA AFYA kazi yake ni nini? Kwa nini wanachagua magonjwa? Je wote members wa NHIF huwa wanaugua kwa pamoja ugonjwa huo wanaouogopa hao NHIF? Huu ni wizi wa pesa za walalahoi. Mama Anna Mkinda lazima uhakikishe sera/policy ya NHIF inabadilika. NHIF igharamie magonjwa yote kwasababu members wote hawaumwi kwa mara moja. 2.NHIF inautitili wa wafanyakazi lakini output/positive impact yao haionekani. 3. Kunaukilitimba mkubwa sana usio wa HAKI katika aina ya wategemezi. Wameweka masharti mengi yanayolenga kupunguza idadi ya wategemezi ili pesa hiyo wagawane wao kwa "mwavuli wa vikao". Raisi aina ya MAGUFULI tulimsubiri na kuomba kwa miaka mingi. Mungu amesikiliza kilio chetu. Tunaomba utusaidie katka eneo hili la BIMA YA AFYA.KUNA KERO NYINGI WAKATI WATANZANIA WANATOA MICHANGO YAO KWA WAKATI.
 
Duh!Nathubutu kusema kwamba HAKUNA taasisi au shirika la umma lililo salama na hili genge la majizi na wazembe.Na kwa kweli Mahakama ya Mafisadi ina 'mtaji' wa kutosha kwenye majalada yake.Bado NBS,TFDA na TCAA,ni suala la muda tu.
 
NHIF wanakula fedha sana...
Ni jipu kubwa, na sbb kila mwezi wafanyakazi wa serikali michango yao ya bima ya Afya inaingia tu, NHIF wamekuwa na matumizi mabovu sana, hasa vikao kila siku na kulipana allowances ndefu za vikao..!!
Huku magonjwa mengi eti bima ya afya HAIFANYI COVERAGE...!!
eg.. 1: Ukienda Regency ukitaka kupima HIV, bima ya Afya hawalipii, na ni sh. 13,900 tu...
2: Pia NHIF ukiwa mgonjwa wa Kichocho, vipimo hawalipii, inatakiwa ulipie binafsi... na huku una Green card yao..!! etc, magonjwa mengi tu hawa fanyi coverage..!! Ila wao vikao na allowances kibao..!! na wizi wa kutisha hasa ktk tenda za kununua vifaa vya baadhi ya hosp.
NHIF, ingetakiwa utumbuaji wa haraka

"Nitawashughulikia (majizi,wazembe,wala rushwa n.k.) kweli kweli."- Rais John Pombe Magufuli
 
Umefwatilia kujua kwa nini hawatibu,usiseme tu ni jibu kama huna facts. NHIF ni bima ya afya na inaingia contract na hospital zote kukubaliana ni magonjwa yapi watatibu na kwa gharama kiasi flani. Sasa kama NHIF hawalipi gharama walizokubaliana na hospitali husika,hiyo hospitali ipo huru kujitoa kwenye hiyo biashara. Sometime NHIF wanachelewesha malipo hadi miezi 3-6 unategemea hospitali husika itaendeshaje shughuli zake.
Samahani! Uaatumia maneno... "kwenye hiyo Biashara" Una hakika huduma za afya ni biashara? Uozo unaanzia hapo. Wengi wanajiingiza kwenye huduma za afya na elimu kwa lengo la biashara, wakati hizo siyo biashara!
 
Annie Makinda atumbua vigogo 9 NHIF, wadaiwa kuhusika ufujaji wa mabilioni. Wapo mameneja 7

View attachment 366626

Safi sana Anna Makinda... NHIF nalo lilikuwa chaka la kupiga pesa na kupeana ajira za upendeleo..

Hongera sana Mama Makinda...
Tafadharini sana , kabla ya vigogo hao kuondoka hakikisheni madeni yote ya watoa huduma yamelipwa .
 
Back
Top Bottom