Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 16,902
- 16,839
Mkuu hivi kadi ya nhif inafanya coverage kwa magonwa yepi? je oparesheni imo
Operation nyingi NHIF wana cover, but again kuna hosp. mfano Agha Khan, watu wote wa NHIF hawapati huduma Agha Khan zote... hapo ndio unajiuliza SERIKALI thru NHIF, wizara ya Afya waneshindwa kuwabana Agha Khan wawatibu wananchi kupitia NHIF.. sbb mwanzoni walikuwa wanatibu, ghafla wakasitisha..!! Agha Khan ni jipu sana, Serikali ingetakiwa iwakomalie..!!
Magonjwa mengi tu hasa yale ambayo si ya mara kwa mara NHIF hawalipii... inaudhi sana