Vigogo tisa NHIF watumbuliwa

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Annie Makinda atumbua vigogo 9 NHIF, wadaiwa kuhusika ufujaji wa mabilioni. Wapo mameneja 7

1468648056994.jpg

Safi sana Anna Makinda... NHIF nalo lilikuwa chaka la kupiga pesa na kupeana ajira za upendeleo..

Hongera sana Mama Makinda...
 
Mtamjua tu Mh. Rais anamaanisha nini, wengine walikuwa hawamwelewi kabisa hasa wale Nyumbu wa Ufipa, sasa kaeni mkao wa utayari wa kupokea Maendeleo kwa kasi Zaidi na uchumi utakuwa halisi na tofauti ya mwenye nacho na asiye nacho sasa itakuwa ndogo
 
Sawa tu watumbuliwe kwani wametuibia muda mrefu sana. Halafu hao NHIF ni janga kubwa sana la kijamii kwani tangu mwaka 2014 wametujazisha fomu eti ili watupatie vitambulisho vipya lakini hadi leo 2016 hawajatupa hivyo vitambulisho.Laana kubwa na iwe juu yao na juu ya uzao wao.
 
NHIF wanakula fedha sana...
Ni jipu kubwa, na sbb kila mwezi wafanyakazi wa serikali michango yao ya bima ya Afya inaingia tu, NHIF wamekuwa na matumizi mabovu sana, hasa vikao kila siku na kulipana allowances ndefu za vikao..!!
Huku magonjwa mengi eti bima ya afya HAIFANYI COVERAGE...!!
eg.. 1: Ukienda Regency ukitaka kupima HIV, bima ya Afya hawalipii, na ni sh. 13,900 tu...
2: Pia NHIF ukiwa mgonjwa wa Kichocho, vipimo hawalipii, inatakiwa ulipie binafsi... na huku una Green card yao..!! etc, magonjwa mengi tu hawa fanyi coverage..!! Ila wao vikao na allowances kibao..!! na wizi wa kutisha hasa ktk tenda za kununua vifaa vya baadhi ya hosp.
NHIF, ingetakiwa utumbuaji wa haraka

Kupima HIV ni bure wewe inakuaje uchajiwe?
 
Mkuu hivi kadi ya nhif inafanya coverage kwa magonwa yepi? je oparesheni imo
 
Hiyo sera umeitoa wapi wewe?

Acha politics... nenda pale Regency MC, kisha kapime HIV, uje useme hapa, kwnn wanalipisha..? Sera unajua ww.. it doesn't work there... si uko Dar, go now..!! Sh. 13,900 na bima ya Afya hawalipii..!!

Wee unaongea policies/sera, mm nakwambia what is really happening....!! Ur talking THEORY... am telling you a PRACTICAL thing...!!
 
Back
Top Bottom