Maalim seif anatakiwa kutoka mafichoni kuokoa chama. Naona ukimya wake na huu mwendelezo wa kujitoa kwa wanachama hautakiwi kuachwa bila ufumbuzi. Kufikia 2015 chama cha CUF kinaweza kisiwepo tena.
leo nimepita sehemu moja tandika nimekuta bango la CUF likiwahamasisha wanachama kujiandaa kwenda airport kumpokea mwenyekiti wao lipumba.. never-say-die fans hao wa lipumba..
Kupe huwa hafi hadi ngozi ikauke kabisa.leo nimepita sehemu moja tandika nimekuta bango la CUF likiwahamasisha wanachama kujiandaa kwenda airport kumpokea mwenyekiti wao lipumba.. never-say-die fans hao wa lipumba..
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
Hilo bango halikuwa karibu na nyumba ya Ibada?
BJ nimefurahi kukuona jukwaa hili!. Japa ikitaja BJ ni Belinda Jacob tuu sio kama kule!.
Nikirudi kwenye mada, "nothing is imposible under the sun"!.
Haki sawa kwa wote.Ngunguri,Ngangari,Asiyependa haki aelimishwe dma Cuf!Kweli Upinzani hauna maana ndan ya Tz
Nikitizama kifo cha cuf namkumbuka alie wahi kuwa msemaji wa rais Sadam Hussein wakati wanajeshi wa marekani wanapiga mabom nje ya station ya redio yy alikua ndani akidai wanajeshi wa Iraq wamesambaratisha jeshi la marekani na wamefafurusha nje ya iraq, ndicho afanyacho Mtatiro.
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!