Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,036
- 132,809
Siasa za Tanzania zimejaa vituko sana! Na siyo yote yang'aayo ni dhahabuMasahihisho kidogo, ni Kadawi Lucas Limbu, aliyegombea Temeke.
Lakini bado utamsikia mtatiro akijibodoa kwamba bora wameondoka wenyewe kwakuwa baraza kuu lilikuwa na mpango wa kuwafukuza.
Ukimsikiliza ismail justa atakwambia hao ni wakristo ndio sababu wameamua kujiengua!
Cuf kinakwenda kaburini, la sivyo maalim seif aachie ngazi kama anakipenda chama chake!
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
BJ nimefurahi kukuona jukwaa hili!. Japa ikitaja BJ ni Belinda Jacob tuu sio kama kule!.Si rahisi kiivyo mkuu..wake up and face the reality!!
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
Kwani Cuf haijafa tu? Lipu lipu lipu lipu lipumba!!!!!! Yuko wapi vile!
Nani aibebaye dhambi ya CUF Januari 27?
Nani wazanzibari wamlaani kwa dhami ya Januari 27?
Nani amewasaliti CUF na kaamua kuiua?
Je, Wazanzibari bado wanamtafuta aliyeiua CUF?
Je, ni Mpemba au ni Muunguja?
Huyo ndie Maalim Seif Shariff Hamad, dhambi aliyowatendea Wapemba haitofutika ktk historia. Ameenda mbali zaidi kwa kudiriki na kuamua kabisa kukiua chama walichokipenda. Lipumba bora ubakie hukohuko switzerland ukisikie hewani tu chama chako kilichokuvunja mkono kikiteketea, usije na ukakishuhudia kinavyoanguka kwa aibu kubwa.
Wamehamia wapi jama wafanye fasta waje huku kwetu
kwetu pazuuuri nimeshapakumbuuka
Tatizo kubwa ni cuf kukubali kushirikiana na ccm ukishashirikiana na ccm kamwe huwezi dumu
Kwani Cuf haijafa tu? Lipu lipu lipu lipu lipumba!!!!!! Yuko wapi vile!