Vigogo Mashuhuri wajitoa CUF

Wapi Topical,Mpemba Mbishi,Jesuit,Mwiba wa Katani and others?
Tunataka kusikia neno moja tu kutoka kwenu....RIP CUF
 
Maalim seif anatakiwa kutoka mafichoni kuokoa chama. Naona ukimya wake na huu mwendelezo wa kujitoa kwa wanachama hautakiwi kuachwa bila ufumbuzi. Kufikia 2015 chama cha CUF kinaweza kisiwepo tena.

Nasikia wanamsubiri Lipumba aje mwezi ujao kuokoa chama
 
nini mustakabali wao kisiasa au wameamua kuachana na siasa kabisa!! CUF is a dying horse!!it kicks very hard!!

Inavyoonekana wanataka kumfuata Hamad Rashid atakakoelekea
 
Mtatiro mapovu yanazidi kumtoka,hongereni kwa kujitoa CCM B ila mnafuata Hamad kwenye chama chake kipya.

Mtatiro ni miongoni mwa watu watakaosababisha CUF kuzikwa.
 
Wapi Mangi Masta?
Wapi Topical?
Wapi Mpemba Mbishi?
Wapi Jesuit?...............RIP CUF
 

Hapo cuf kinakufa na wao wanakufa kisiasa inakuwa ngoma droo
 

Tatizo kubwa ni cuf kukubali kushirikiana na ccm ukishashirikiana na ccm kamwe huwezi dumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…