lebadudumizi
Senior Member
- Jun 9, 2011
- 149
- 20
Lebadudumizi=Ngongo!...doubtless!
<br />Acha unazi wa kipuuzi Anold Kamunde ni katibu wa BAVITA mkoa wa Arusha Gervas Mgonja alikuwa katibu wa mbunge Arusha G Lema.
Chadema wezi,
Chadema vigeugeu,
Chadema adui wa waislamu
Chadema adui wa wakristo(Jana Regia Mtema(mb CDM) kasema Yesu alikuwa na mapungufu kibao)
Lebadudumizi=Ngongo!...doubtless!
When Ngongo is active, automatically LBD is offline, and vice versa!....Monkey -Tricks!Ngongo+Technician+Rejeo=Lebadudumizi haaaa aaaaaaa.Kumbe mkishikwa pabaya mnakimbilia utetezi dhaifu jibuni hoja kwanini viongozi wenu wanatuhumiwa ujambazi ?.
Siku hizi ni rahisi kutetea dhambi kwa mgongo wa CCM ?.
Kama si viongozi wa CDM tuambie ni viongozi wa chama gani na walikuwa karibu na kiongozi gani CDM.
<br />Magwanda wameshikwa pabaya hawana pa kukimbilia.Ngoja niwaandalie juisi ya pilipili.
Mbwe na Slaa nao ni wale wale!Mimi nilijua Mbowe na Slaa bwana......some thread headings!!!
Magamba wanalo wanalo tu.Hiyo haitasaidia kuwasafisha magamba.
kesi kitu cha kawaida hata slaa na mbowe pia wanakesi arusha.pia ni mpk mahakama ithibitishe kua ni wahalifu.acha kuleta jazba kama za kilaza wenu wasira hapa.gamba mkubwa we.
<br />
<br />
Mlesha leta zika dunda....watanzania wa leo siyo wajinga kiasi kwamba wana meza kila unacho walisha.....endeleeni kuwakampenia....poleni magamba companyMbwe na Slaa nao ni wale wale!
Soon tuataleta ishu zao hapa
Nani amefata mkumbo....inabidi tubadilike na kufatilia kwa kina habari na sio kufata mkumbo kwa kuwa ni cdm basi hawawezi kuvunja sheria,penye ukweli basi tufate ukweli,,sio uccm na ucdm....
Habari yako Lebadudumizi=Ngongo, mwaka huu kamani kazi unayo...mkuu unajua bei ya sukari........Ukileta jambo lolote negative hasa linalomhusu Lema lazima utakuwa Ngongo.Makubwa !!!!!!!!!!!!!!!!!
hana hata akili ya kutumia browse 2 tofauti magamba tekini bana......When Ngongo is active, automatically LBD is offline, and vice versa!....Monkey -Tricks!