occipito-frontalis
Senior Member
- May 28, 2017
- 134
- 71
Suluhisho ni wewe kuhama huko uswahilini ambako kuna vigodoro usivyovitaka
Sawa ila vigodoro na uswahilini ni ndugu wa damuNi njia ninayopita, siishi huko
Mtoa mada acha roho mbaya bana sisi wengine vinatupa raha na kutupunguzia mawazo ya hivi vidude vinaitwa vikokotoo
Tupo wengi sana bossHa ha ha ha ha ha, hicho kitoa mawazo ni cha pekee kwako ndugu
Tupo wengi sana boss
Sasa hivi huku mtaani kwetu kigodoro kinaunguruma, hapa tunafaidi kuona viuno tuHuhuhuhu