Msukuma 94
Senior Member
- Apr 21, 2017
- 133
- 91
Habari wana JF napenda kujua vigezo vya kujiunga na TANAPA kama askari kutokea katika mafunzo ya JKT kujitolea.
unazinguaUwe umewahi kuishi porini kwenye pori lenye wanyama wakali angalau kwa miaka isiyopungua mitano
Umekosa sifa nini?unazingua
Je vigezo vya elimu kama sijasomea taaluma ya uhifadhi wanyama pori kwa kidato cha nne na sita wanaangalia nnWanapatikana kwa Namna 2;
1. Kama umepitia Mafunzo ya Uhifadhi Wanyama pori kwa ngazi ya Cheti au Astashahada toka vyuo vya Pasiansi ama Mwika, ndo navifahamu vinatoa hyo taaluma
2. Kwa wale waliopitia Mafunzo ya JKT
NB:
TANAPA walitangaza nafasi zaidi ya 90 za uhifadhi Wanyamapori unaweza kupitia kwenye Tovuti yao kucheki kama bado deadline haijafika!
Je vigezo vya elimu kama sijasomea taaluma ya uhifadhi wanyama pori kwa kidato cha nne na sita wanaangalia nn
Ata mm ilu mm linanitatiza ili swalaa naombeni jibuu mfano umemalza form six masomo ya sayansi CBG division two ya 10 unaweza pata nafasi??? Naomben msaada wakuu wenye uelewaaJe vigezo vya elimu kama sijasomea taaluma ya uhifadhi wanyama pori kwa kidato cha nne na sita wanaangalia nn