Vigezo vya NACTE

Vigezo vya NACTE

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
6,963
Reaction score
7,649
Habari ndugu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna dogo alikuwa anasoma hii elimu ya kati,kamaliza certificate, mwaka huu kamaliza diploma yake.

Sasa nasikia kesho mwisho wa kuofanya maombi ya kujiunga na degree na hawezi jiunga na degree pasipo AVN kutoka nacte, na kafany maombi nacte wanagoma kuthibitisha wanamwambia kuwa hakuwa na vigezo vya kusoma nta level six.

Yeye anasema kuwa ana c, d na e tatu zote kapata miaka tofauti hapa nashindwa elewa, najua qualification ni D nne , amenichanganya kidogo, amekubaliwa vipi kusoma mpaka amalize diploma wamgomee mwishoni inamaana level nyingine kapitaje?

Mwenye uelewa aeleze hapa.
 
E o level?kigezo ni uwe na D4.
Mtihani wake wa mwisho wa O level kamaliza mwaka 2013 kapata E tatu, sasa ninachojiuliza alifanikiwa vipi nacte kumpitisha huko kote ?
 
Habari ndugu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna dogo alikuwa anasoma hii elimu ya kati,kamaliza certificate, mwaka huu kamaliza diploma yake.

Sasa nasikia kesho mwisho wa kuofanya maombi ya kujiunga na degree na hawezi jiunga na degree pasipo AVN kutoka nacte, na kafany maombi nacte wanagoma kuthibitisha wanamwambia kuwa hakuwa na vigezo vya kusoma nta level six.

Yeye anasema kuwa ana c, d na e tatu zote kapata miaka tofauti hapa nashindwa elewa, najua qualification ni D nne , amenichanganya kidogo, amekubaliwa vipi kusoma mpaka amalize diploma wamgomee mwishoni inamaana level nyingine kapitaje?

Mwenye uelewa aeleze hapa.
Baada ya kuja huu utaratibu wa AVN,kuna baadhi ya watu wameliwa vichwa.Maana vyuo vilikuwa vinachukua watu na kuwasajiri bila vigezo vilivyo wekwa na nacte.

Vigezo vya nacte kwa ngazi ya cheti ni D 4 kwa O-level.Pia kuna specific condition qualifications kwa baadhi ya course.Mfano kuna course itakutaka miongoni mwa pass ulizonazo,kuwe na pass ya hesabu.

Kwa uhakika zaidi wasiliana na chuo ili watoe ufafanuzi wa jambo hilo.Kama alisoma bila vigezo na kwa nini wamsajiri mwanafunzi hasiye na vigezo vilivyo wekwa na nacte.
 
Back
Top Bottom