ramzi27
New Member
- Jan 11, 2020
- 4
- 1
Wakuu naombeni mnieleweshe, kama umemalza Form Four unatakiwa ufaulu masomo gani ili uende kusomea (IT)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ufaulu wake uwe wa vp wakuuu msaadaWakuuu naomben mnieleweshe km umemalza form four unatakiwa ufaulu masomo gn ili uende kusomea (IT)
Sent using Jamii Forums mobile app
unatakiwa uwe na PASS zisizopungua nne,kama maks zinaruhusu achana na IT.
kasome telecommunication au computer science-ukisoma hizo moja ya hizo course na IT utakuwa umeipata automatically
Sent using Jamii Forums mobile app
Je degree ya Computer S vigezo vyake ni vip nataka mwaka huu nirudi soma
Hakuna vugezo vyevyote ila kuna vigezoWakuuu naomben mnieleweshe km umemalza form four unatakiwa ufaulu masomo gn ili uende kusomea (IT)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna F kwenye somo lolote la sayansi kasome computer scienceWakuu naombeni mnieleweshe, kama umemalza Form Four unatakiwa ufaulu masomo gani ili uende kusomea (IT)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiria nimewah sitWakuu naombeni mnieleweshe, kama umemalza Form Four unatakiwa ufaulu masomo gani ili uende kusomea (IT)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naombeni mnieleweshe, kama umemalza Form Four unatakiwa ufaulu masomo gani ili uende kusomea (IT)?
Sent using Jamii Forums mobile app