Naombeni mnijuze, kuna watu nilisikia wakisema kwamba HESLB hutoa mkopo kwa kuangalia matokeo ya 4m4 je ni kweli?
Form 4 ni kama password kwenye mambo ya kuombea mkopo na kuomba chuoNaombeni mnijuze, kuna watu nilisikia wakisema kwamba HESLB hutoa mkopo kwa kuangalia matokeo ya 4m4 je ni kweli?
Kama ulisoma olevel private alafu A level Gorvernment hii imekaaje mkuu huwez pata hata booom!!!!Una wazazi wawili, huna ulemavu wowote, masomo yako hayakufadhiliwa na taasisi yoyote, ulisoma sekondari (o-level)private school kwa pesa za wazazi wako my friend probability ya kupata mkopo hapo ni 2%.
Hupati, (kusoma o-level private ndiyo kikwazo kikubwa)labda kama huna mzazi/wazazi au una ulemavu.Kama ulisoma olevel private alafu A level Gorvernment hii imekaaje mkuu huwez pata hata booom!!!!
Ukweli mchunguHupati, (kusoma o-level private ndiyo kikwazo kikubwa)labda kama huna mzazi/wazazi au una ulemavu.
Maneno yangu sio sheria . Nasema haya kwa sababu hizi ndizo sifa za watu wengi wasio na mkopo vyuoni.
Nimeshaangaaa Sana kwanini ..........vyuo vitaanza kufunguliwa tarehe 16 mwezi wa 11 na mikopo itaanza kutolewa tarehe 10 mwezi wa kumi na moja, shida yangu ni kwamba je ikitokea umekosa round zote, na muda wa kuwasili vyuoni umefika?? Serikali hii ya wanyonge haioni kwamba wanafunzi wengi watashindwa kuwasili vyuoni??
Hapo kweli kuna shida mkuu. Lakini kuna baadhi ya vyuo wamesogeza mbele siku ya kuripoti. Na bado huwa kuna muda usiopungua wiki mbili kama nafasi ya usajili. Hivyo, kama ukipata mkopo haiwezi kuleta shida sanavyuo vitaanza kufunguliwa tarehe 16 mwezi wa 11 na mikopo itaanza kutolewa tarehe 10 mwezi wa kumi na moja, shida yangu ni kwamba je ikitokea umekosa round zote, na muda wa kuwasili vyuoni umefika?? Serikali hii ya wanyonge haioni kwamba wanafunzi wengi watashindwa kuwasili vyuoni??
Bos niunganishe pm na hizo taasisiHapo kweli kuna shida mkuu. Lakini kuna baadhi ya vyuo wamesogeza mbele siku ya kuripoti. Na bado huwa kuna muda usiopungua wiki mbili kama nafasi ya usajili. Hivyo, kama ukipata mkopo haiwezi kuleta shida sana
Kwa watakao kosa hapo ni mtihani kwelikweli. Ila kama kweli ni mtoto wa masikini na umesoma shule za serikali ni nadra sana kukosa mkopo hata kama uchukue kozi gan. Kikubwa ni kumuomba Mungu
Pia, kuna taasisi baadhi za kidini ambazo pia zinahusika na kutoa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu... Kama HESLB wakikutema batch zote unaweza kuangalia huko.
Ondoa shaka mkuu, Mungu yupo pamoja na sisi