Vigezo vya kufurahia chakula cha usiku kati ya m/me na m/mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigezo vya kufurahia chakula cha usiku kati ya m/me na m/mke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkare, Dec 21, 2010.

 1. M

  Mkare JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo wadau,
  Nilipitia blog moja hivi ya mambo ya malavi davy na ndoa, nikaikuta hii article....

  MWANAMKE:

  Ili mwanamke afurahi tendo la ndoa:

  Ni muhimu ajisikia anapendwa na mume wake, ajione yeye ni kitu cha thamani na kusifiwa na mume wake.


  Ni pale anapojiona anasikilizwa na kuwa respected.


  Pale kukiwa na mazingira ambayo ni romantic (ndiyo maana sex on spot au bila kuandaana na kupeana muda wa kuwa connected kimapenzi huwezekana kwenye movies na si kwenye real life) mke anahitaji kusaidiwa kazi ndogondogo kama kupika, kuosha dishes, kusafisha nyumba, watoto nk ndipo awe tayari kwa kumfanya Mr. Happy aendeleze smile lake. Mke hupenda na hujiamini pale anapojiona ni msafi (clean) hasa kabla ya kuguswa sehemu yoyote katika mwili wake, kwake hygiene ni jambo la msingi sana ingawa wanaume wengi hujisahau as if hadi wafanyiwe sniff test.


  Mwanamke ili afurahie tendo la ndoa anahitaji privacy.

  Anahitaji kuhakikishiwa kwamba mlango umefungwa (locked) pia hakuna mtu anawasikiliza au kusikia heka heka za mahaba (ndiyo maana si rahisi sana mwanamke kukubali tendo la ndoa akiwa nyumbani kwa wakwe.


  Mwanamke anahitaji kujiona mume anamuelewa na zaidi anapata kisses, hugs, touch, na cuddling mara kwa mara.


  MWANAUME:

  Mwanaume ili afurahi tendo la ndoa;

  Ni pale anapojisikia kwamba mke wake anamuhitaji (needed), hiyo ni siri kubwa ambayo mwanaume hujiona anasisimka kimapenzi.


  Pia mwanaume ili afurahie sex anahitaji sehemu au mahali ambapo anaweza kuhudumiwa na kwa mwanaume sehemu yoyote, eneo lolote hata tatizo kwake sex inawezekana.

  Hii ina maana kama kuna mahali binadamu anaweza kwenda au kufika basi mwanaume kwake sex itawezekana.
   
 2. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  hapo nilipoongeza ukubwa yani washikaji tunatisha ni ngono njenjeeeeeeee, noma mno sie wakaka.
   
 3. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Sasa uchaguzi umekwisha basi hatusikii lingine, ni ngono tuuuuu. Me nilipoona title nilidhani ni something to do with dinner. lol!
   
 4. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  lovely...nimeipenda.nice atiko :teeth:
   
Loading...