Vigezo vya Ku apply online DIT &mengineyo 2017/2018

lnox menel

Member
Mar 11, 2017
44
125
Tusaidiane
1.Eti certificate wanayo itaja kwenye maitaji yakufanya maombi dit ni leaving certificate au result slp?

2.Na ukisha Fanya maombi majibu yanatoka muda gani?

3.Je katika adda yao ambayo bado cnauakika Nina weza pata chakula na hostel (accommodation)?

4.mwaka mmoja kwa pale chuoni was masomo unachukua mida gani?

5.jee kamaa ufaulu wako uko saw a na maitaji yao unaweza kukosa nafasi ya masomo?
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
3,930
2,000
Tusaidiane
1.Eti certificate wanayo itaja kwenye maitaji yakufanya maombi dit ni leaving certificate au result slp?
2.Na ukisha Fanya maombi majibu yanatoka muda gani?
3.Je katika adda yao ambayo bado cnauakika Nina weza pata chakula na hostel (accommodation)?
4.mwaka mmoja kwa pale chuoni was masomo unachukua mida gani?
5.jee kamaa ufaulu wako uko saw a na maitaji yao unaweza kukosa nafasi ya masomo?
Mkuu, ktk viambatanishi kinachotakiwa copy ya cheti halisi na kama cheti bado hakijatoka basi tumia result slip not leaving.
kuhusu nafasi, unaweza kukosa hata kama ukiwa na vigezo vinavyohtajika, hii inatokana na compitition ya watu mlioomba.. So ili kujihakikishia kupata nafasi basi jaribu kuomba vyuo zaidi ya kimoja
 
Asante sana he Niki apply majina yanaweza toka lini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom