Vigezo vya Instagram verification

Madima

JF-Expert Member
May 25, 2019
351
299
Nauliza ni vigezo gani hutumika mpaka account ya instagram iwe verified?
 
Kitambulisho cha taifa. Na informations zako kama public figure/celebrity ziwepo google.
 
Habari,

Hakikisha wewe ni Public Figure, Diplomat, Government Personnel, Artist (Combinely), Mwanamichezo au unafanya kitengo cha mitandao mingine ex. Facebook (Inherit Parent Company), Twitter, Google, Amazon and co.

Hakikisha taarifa taarifa zinazokuhusu wewe ni nyingi kuwezesha team ya Verification kukufanyia evaluation. Taarifa bora zitatizamwa Google, YouTube na Tovuti au vyombo vya habari katika eneo lako.

Hakikisha hujawahi kukiuka masharti na vigezo vya Instagram, mfano utunzaji bots, kuongeza followers na utumiaji wa third party apps uliokithiri.

Hakikisha una utambulisho aidha Kitambulisho cha utaifa, leseni na cheti cha kuthibitisha biashara au usajiri wako kwa kampuni.

Kumi endapo unahisi unahitaji kupata verification badge kwa namna yeyote ile lakini unaona hutoweza basi tembelea afisi kuu za Facebook zilizopo Nairobi na Johannesburg na afisi ndogo Cairo, Lagos na Rabat.
 
Sound good
 
Jamaa apo kajibu poa sana ila pia kama unahisi mlolongo ni mrefu just visit Facebook wana office hapo nairobi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom