Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
Wadau naombeni msaada! Natka nijue vigezo vya kiufundi ambavyo hutumika kabla ya kujenga ghorofa refu!, Maana roho inauma Kuona Dar es salaam hakuna jengo hata la ghorofa 50!! (Shame!!) udongo Wa Dar haufai ? Hela hatuna za kuestablish miradi kama hyo? Maeneo hakuna? Ama tatzo nn ??