Vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa

Vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa

Hicho kifurushi ni cha kwako tu wengine wana sh 2000 gb 1 kwa mwezi
 
mm voda hata wapandishe vocha ya 500 iwe 2000...nitagandana nao tuuu. ndio mtandao reliable hasa vijijini na kwa sisi mabaharia.
 
Hiyo ni ya kwako tu, inatofautiana line na line. Vifurushi vipya vya Vodacom ni Dar Supa Uni unaipata kwny menu ya *149*03# ambayo kwa sh 500 unapata mb 500, dakika 30, voda, dakika 20 mitandao mingine na sms 500 kwa 24hrs. Wakati kwa buku 2 unapata dakika 150 voda, dakika 50 mitandao mingine sms elf 2, na 1024mb, wassap, insta na fb bure kwa siku saba
 
Halotel wameshusha sana vifurush vyao yan 2000 Mb 800 mmmh


Good news, ni muda mwafaka kuhamia huko, hizi line zingine naweka kwenye nokia tochi kwaajili ya kupokelea simu zinazoingia tu, dawa ni moja wakifinya nasi tunafinya.
 
kwa hizi siku mbili wamerudisha kwa wale wateja inaitwa 'Ya kwako tu"
maana tuliwakimbia
kwa sasa km una 1000/ unapata 1025Mb sawa na 1Gb
Member samahani ni sana
nimekuta leo Vodacom wamenipo Mb 120 eti kwa 1,000/
kwenye ileile YA KWAKO
sijui niseme ni WIZI au NIWAHAME?
 
Kwakweli hali sio kabisa. Imenibidi niikumbuke router yangu ambayo niliitupa stoo. bahati nzuri nimeipata ila ina vumbi balaa, na sijui kama ina line ndani. ngoja nitawaabarisha.
1.png


kama mnavyoiona modem/router yangu ya smile, niliitupa baada ya kupata afueni na Vodacom, ila sasa nairudia maana wanakifurushi tsh2000 unapata GB2, na tsh 10,000 unapata GB10.
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::nimeangalia ndani kama line ipo::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::

2.jpg
 

Attachments

  • upload_2018-5-19_21-42-3.png
    upload_2018-5-19_21-42-3.png
    274.9 KB · Views: 81
kwasasa natumia smile. ila coverage mpaka nitegee dirishani. ila poa tu ni bora kuliko Vodacom. nipo Soweto moshi kilimanjaro
 
H
Yaani ulipie bundle elfu 60 kwa 36gb kwa mwezi bado uamini kwamba Facebook,Instagram etc umefanyiwa bure[emoji15][emoji15][emoji15].......mbona hizo bundles(36gb) bila hiyo bure yao unaweza maliza nazo kwa mwezi?
Hujanielewa...nimemaanisha kwamba huhitaji kununua bundle ya elfu 60 kama uma matumizi ya madogo madogo ya msingi.
 
Back
Top Bottom