Vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa

Vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa

Screenshot_20180517-214032.png
Halotel tuko pazuri
 
kwani nyie mkaburu hamumfahamu vizuri? south kwenyewe tu ilibidi kuingilia kati kumtoa ndo ije kwenye biashara! mtaisoma namba ma VODA GO nyieee
 
Muache kuchezea chezea simu kishamba, kitakwimu hizo bundle ni reasonable kulinganisha na nchi nyingine haswa kwa mtu mwenye matumizi ya internet ya msingi. Maana mitandao yenu pendwa kama Facebook, Instagram nk saivi unapata bure!
 
Yaani ulipie bundle elfu 60 kwa 36gb kwa mwezi bado uamini kwamba Facebook,Instagram etc umefanyiwa bure[emoji15][emoji15][emoji15].......mbona hizo bundles(36gb) bila hiyo bure yao unaweza maliza nazo kwa mwezi?
 
SERIKALI ILITUAMBIA KUPITIA WAZIRI WAKE WA MAWASILIANO WA KIPINDI KILE BW MAKAMBA KWAMBA HUDUMA ZA SIMU PAMOJA NA INTERNETUNGEPUNGUA SANA GHARAMA. KWA SABABU YA MKONGO WATAIFA NI KWELI HUDUMA ZILIPUNGUA SANA ILI ILIPOKARIBIA UCHAGUZI MKUU 2015 TUKAPANDISHIWA BEI.
 
Back
Top Bottom