Vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa

sijui kwa mitandao mingine ila binafsi niliwakimbiaga TIGO kwa kuwa na vifurushi vya bei kubwa na kuwa na utoto mwingi, mara mtandao usumbue, mara sms zichelewe kufika na maudhi mengi mengi tu, nikaamua kukimbilia voda na ndo naona ni mtandao bora zaidi kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…