Vifurushi vya Tigo

Vifurushi vya Tigo

ADK

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
2,236
Reaction score
810
Wadau kwa anaejua jinsi ya kujiunga kifurushi cha mwezi cha tigo ambacho unakatwa 15000 tu.

Nawasilisha
 
Wadau kwa anaejua jinsi ya kujiunga kifurushi cha mwezi cha tigo ambacho unakatwa 15000 tu.

Nawasilisha

Kifurushi kipi? anyway, pekua humu huenda utakiona, *148*00#.
 
Ndugu ilonga humo nilikosa, nikile nikijiunga kwa 15000 wanaongeza nyingine kama hizo.coz natunia sim ya promosheni
 
Mkuu mbona hujamalizia hiyo namba?
 
Piga simu huduma kwa wateja na uwaulize jinsi ya kujiunga na huduma za promosheni watakuelekeza.
 
Sim hawapokei jamani
 
Tatizo niko kibaruani wakuu
 
Mwasimali sio vifurushi vya vyuo .
Ni vile ukiweka hicho wanakuongezea nyingine kama hizo katika kufanya mrejesho wa garama zako za kununua sim
 
*148*00#
Baada ya hapo itakupa option ya vifurushi vya Internet ...Utaendelea mwenyewe.mkuu ongeza 10000 iwe 25 elfu ili upate gb 5 kuliko 15 elfu unapata gb moja tu
 
Weka hiyo elfu 15 kwa pamoja usiweke nusu nusu utapata bonus yako haina haja ya kupiga simu tigo.
 
*148*01*20# ila ukiwa chuo au maeneo ya karibu ya chuo,unapata huduma hiyo,vinginevyo huipati.
 
Maamuzi sahihi walishanikatalia walisema hata kama nikiweka cash lazima nijiunge
 
ni pm nikujuze jins ya kupata gb 1 na sms bila kikomo dakika 300 kwa mitandao yote unatumia upendavyo ndani ya miez mitano NI LAINI YA TIGO TU
 
Back
Top Bottom