Vifurushi vya data: Kuwe na utaratibu wa kutopandisha gharama bila kujadiliana na wadau

Njaramatata

Member
Aug 6, 2020
44
66
Habari za week end/valentine,

Nina Rai ifuatayo ambayo inaweza kuwa ni muarobaini was gharama za vifurushi vya simu. Serikali kupitia TCRA iwe na utaratibu kama unaofanywa na EWURA wa kutopandisha gharama bila kujadiliana na wadau lakini pia kuwe na bei elekezi.

TCRA iwe regulator kwa mtumiani pia, ilivyo ni kuwa hakuna udhibiti makampuni wanafanya watakavyo at the expenses ya sisi walaji it's unfair.

Serikali iliangalie Hili atumiaji hawana mtetezi isingekuwepo social media platforms sauti yetu isingesikika.

Nawasilisha.
 
Walisema hadi kufikia tar 28/02/2020 watakuja na tatuzi

Screenshot_20210206-051338.jpg
 
Mapato mapato mapato wakiona yapo katika ubora kwa upande wao jua kabisa hatuwezi kupata mwarubaini kwa upande wetu.
 
Back
Top Bottom