Vifungo Kukaa Kulia na Kushoto

Vifungo Kukaa Kulia na Kushoto

mkuu yaelekea una umri mkubwa sana!
Dogo hapa sio suala la umri mkubwa. Ni hizi elimu tunazopata humu jf bwerere. Mfano wewe umeshapata hii elimu kwani ukimpa haya majibu mtu mwingine nawe utakuwa una umri mkubwa?
 
SWADAKATAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Dogo hapa sio suala la umri mkubwa. Ni hizi elimu tunazopata humu jf bwerere. Mfano wewe umeshapata hii elimu kwani ukimpa haya majibu mtu mwingine nawe utakuwa una umri mkubwa?
bwana mdogo, umri sio miaka tu, hata wingi wa busara pia ni utu uzima! mathalani, yaelekea wewe una umri mdogo sana!
 
Back
Top Bottom