Vifungashio vya Mayai vinapatikana wapi?

Vifungashio vya Mayai vinapatikana wapi?

Marambo

Senior Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
104
Reaction score
66
Wakuu, nimeamua kuwa mjasiriamali wa kufuga kuku wa kisasa. sasa wameanza kutaga, soko linasumbua kidogo, mwezi uliopita mayai trey ilikuwa sh. 8000 hadi 8500 bei ya jumla sasa hivi ni sh. 6000 hadi 5500/=, chakula cha kuku kipo juu, mfuko wa chakula kwa wanaotaga sasa ni kati ya sh. 42,000-65,000 kutegemeana na kampuni.

ninataka nifunge niuze kwenye maduka makubwa kama min-supermarket na super market. itawezekana? na je nitapata wapi vifungashio? na je soko nzuri kwa sasa lipo wapi?
 
Back
Top Bottom