Saidi Mpepo
Member
- Jan 2, 2018
- 13
- 1
Mambo vp nilikuwa na shida ya vifungashio anaejua WAP ninaweza kuvipata vifungashio vya vyakula mfano kama vile vya diamond Karanga au chipsy snack naomba anijuze au ni kampuni gani ambayo inatengeneza hivyo vifungashio naomb mnambie. Kwa mawasiliano no 0659332261
Asante
Asante