Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
Mkangafu wa hatari na nimepiga na msapulo na kande!! Karibu sana nipo hapa Ipogolo kwa Mwagongo!!Mkuu unakunywa Ulanzi nini!??
Mkuu Allen kwa manufaa ya Wana Iringa tulio mbali na hapo stone town ingependeza walau ungekuja na majina tuweze na sie tulio mbali kufahamu nini kinajiriKwa takribani siku kumi zilizopita vimetokea mfululizo vifo kadhaa vya watu maarufu hapa Iringa hadi kuzusha maswali mengi sana.
Inawezekana Mungu ameamua kuchukua watu maarufu wanaofahamika hapa Iringa ili kuleta watu wengine maarufu wa kizazi hiki. Lakini inafikirisha sana!!
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.Mkuu Allen kwa manufaa ya Wana Iringa tulio mbali na hapo stone town ingependeza walau ungekuja na majina tuweze na sie tulio mbali kufahamu nini kinajiri
Naunga mkono hoja.Mkuu Allen kwa manufaa ya Wana Iringa tulio mbali na hapo stone town ingependeza walau ungekuja na majina tuweze na sie tulio mbali kufahamu nini kinajiri
OkMkangafu wa hatari na nimepiga na msapulo na kande!! Karibu sana nipo hapa Ipogolo kwa Mwagongo!!
Bwashee sasa hao askari ndio watu " maarufu' kweli?Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.
Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Kwako wewe mtu maarufu ni mpaka awe na cheo cha kisiasa? Umaarufu ni matendo ya mtu na si cheo chake. Joti siyo maarufu? Kwa hapa Iringa hao ni watu maarufu kwa kuwa wanafahamika na watu wengi.Bwashee sasa hao askari ndio watu " maarufu' kweli?
Ingekuwa enzi za akina Nsangalufu sawa!
Hapawahi kupoa. Ila kwa sasa inakabiliwa na ushindani mkubwa sana. Kwa nyuma tu kunajengwa bar mpya bila ya shaka Miami itapata ushindani mkubwa sana!!Miami bado pana amsha amsha zake flani!
Kuna ukimya unaotisha sana!!Kuna taifa fulani la kiimla hapa Afrika mashariki limeamua kuficha vifo vya Corona na wananchi wake wakaamua kukaa kimya kama mazuzu ila nawahakikishia gharama yake ni kubwa
Watu hawachukui tena tahadhari kwa sababu wamejisahau kuwa Corona ipo!Kuna ukimya unaotisha sana!!