Vifo vya ghafla vyaendelea kutokea UDOM!

kwa kuwa hakuna mazingira yoyote yaliyoonyesha kuwa kuna aliyesababisha,basi tuamini ni natural death
 
Buji buji acha imani zisizo na relevancy to fact in issue,majini ndo nini?Je umewah kumwona mtu aliyeuwawa na majini?Sasa haya unayatoa wapi?
 
Poleni kwa misiba. Imetokea tu co-incidence matukio mawili yakafuatana kwa karibu. Tuwaombee wailoatangulia mbele ya haki.
 
poleni sana udomu tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu cha kuwapoteza wasomi hao wa tanzania...!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom