last weekGwapo kafariki next week
kafari next week kivipi?Gwapo kafariki last week
Ni typo tu, alikusudia last weekkafari next week kivipi?
Kweli ni hatari.Kifo hakizoeleki hata kama kimetokea maili elfu moja toka ulipo.Duh🥱🙏🏿
Alifikia hatua ngumu sana.Hadi anajitoa uhai?Tuombe kheri.kuna yule jamaa humu ndani alijiua kutokana na maisha kuwa magumu sana upande wake
Aliogopa na kudhani unatarajia afariki baadaye.Typing error nimesharekebisha loh!