msimbishie ZeMarcopolo ni kweli Katiba ya mwanzo ya CDM ilikataa Dodoma isiwe Makao Makuu ta TZ, Jengo la Chimwaga liwe Chuop kikuu, JKT ifutwe haina tija nkze marcopolo ukilala unawaza CDM, ukiamkia unaiwaza, maana comments zako wewe lazima uitaje CDM. pole sana, sasa kwa hili CDM imekataa vipi watu kujiunga na jkt? sema tu unapoamua kuingia jeshi unakabidhi na roho yako.
msimbishie ZeMarcopolo ni kweli Katiba ya mwanzo ya CDM ilikataa Dodoma isiwe Makao Makuu ta TZ, Jengo la Chimwaga liwe Chuop kikuu, JKT ifutwe haina tija nk
Nawshukuru Zitto. Halima Mdee na wengineo km Livingstone walioenda JKT ndio watatueleza ukienda huko ni kukifuata kifo
Hata miaka yetu walikuwepo MASELULE kibao ambao waliJONGO JKT na hata wakifuatwa Maofisini waliacha kazi kisa JKT ni kwenda kufa.
JKT zote zina Hospital na kuna FreeDuty mradi uonyeshe Cheti cha Daktari lakini huwezi pewa adhabu wakati unakilema au maradhi yanayojulikana
Wanaochochea JKT ifutwe bado mpo maana hata viboko Shule au Mchakamchaka hamtataka ila mfaulu tu
Ni watu fulani wanaonufaika na mfumo uliopo. Walishalewa kodi zetu, ila siku zinahesabika kwani 2015 nitaiweka pembeni PhD yangu na kujitoa mhanga. Haiwezekani nchi ina kila sababu ya kuwasaidia wananchi wake wakaishi vizuri lakini kutokana na mfumo mbovu.
Wanaanzisha kambi za jkt kisiasa siasa tu bila kuzingatia masuala na msingi. Cjui kama kuna mitaala iliyojaribiwa ya jkt na ikaonekana iko feasible ama ni suala la jenerari kazi ngumu kutaka kujilinganisha yeye alivyosota na watoto wanaoenda kule kwa mujibu wa sheria.
Serikali ya sasa haina muda wa kujali vifo wala nini. Wako busy kuua CHADEMA TU. Hawa watoto wwatajiju na wazazi wao.
Ni huzuni kwa kweli.
Kwa hiyo unasifia vifo jeshini................?:A S 39:
Unafiki hupi? mimi niliwahi kupitia huko, wewe je? We kwa mawazo yako unafikili kule kuna watu wakatikili ambao wanawaua vijana kwa makusudi - yaani hakuna waganga wa kuwapima/kutibu wenye matatizo, msiwe mnakurupuka kuandika mambo ya uzushi.
Ungejua JKT ina umuhimu gani katika ustawi/ulizi/umoja wa Kitaifa wala usingeleta mambo ya ajabu kama haya. Kama kuna jamaa yako amefariki kutokana na natural causes sema hivyo, lakini sio kuleta mambo ya kuongeza chumvi, nilisha kusoma kisaikolojia wala sishangai majibu yako!! We unasema vijana wengi wanakufa karibu kambi zote za JKT, ulipo banwa zaidi ukasema hapana jana ndio umezika mtoto wa binamu wako (R.I.P) sasa tukuelewe VIPI?
Acha wafe ili Taifa libaki na raia wakakamavu, hao magoi goi watatuletea gharama za kutibu visukari, Pressure, nk. bora wakafa mapema. Tulishazoea kuwa magonjwa haya ni kwa watu wazima. Siku hizi watoto na vijana ndio wamekuwa wagonjwa sugu. Hao watakaobaki ndio wazalendo tunaowataka. Unaogopa kufa? au na wewe ndio upo kwenye kundi linalofuata na ni goigoi? uende na wewe ukafie huko acha uoga.
Mkuu naona hujaelewa nilichokimaanisha na hilo siyo tatizo langu bali ni lako, fikiria siyo kumeza misitari kama ilivyo.kumbe ni msomi.sasa huo usomi unautumia vipi kuisaidia jamii?.
Hebu tuwekee japo sample ya solution tuone.
Duniani kuna mchanganyiko wa viiumbe wenye maumbile kama binadamu. Kweli nje tunaonekana kama tuko sawa l.akini kumbe tuko tofauti.
Source ameandika amesikia.ingependeza zaidi kama ungeweka source
Umejichanganya ndg yangu hakuna comment yangu yoyote nilosema..
''vijana wengi wanakufa jkt''..eleza nimebanwa wapI na kwa sentesi ipi mpk nikajibu ..'.'hapana jana ndo tumezika mtt wa binamu.''relaaaax naomba uquote comments zangu zoote...nahis umepanik halafu inaonyesha jinsi gani we ni muongo..huna akili...unashindwa kusoma ht sentensi..kumbuka mm si laut mleta mada...kusoma hujui ht picha pia...soooorry...hehehehehehe
Nilisha kuona tangu mwanzo, I don't think u're mentally SOUND.
We ungesema nimekosea badala ya kumu-address LAUT imekuja kwako kwa bahati mbaya na hukuwa na haja ya unijibu, huo ndio ustaarabu lakini maneno chungu mzima na kutukana watu, are U mentally SOUND kweli? Hakuna watu weledi humu wanao tumia lugha za vijiweni kama za kwako, majibu jibu yako speaks volume kuhusu your persona. Bado unaonyesha wazi wazi una akili za kitoto, mtu mzima hawezi ku-behave like toddler. Kama una such a skewed mentality basi hapa hapakufahi.
Mkuu naomba utulie ili utupe taarifa iliyokamilika,naona una mshtuko kidogo juu ya hivyo vifo
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.