WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Ni watu fulani wanaonufaika na mfumo uliopo. Walishalewa kodi zetu, ila siku zinahesabika kwani 2015 nitaiweka pembeni PhD yangu na kujitoa mhanga. Haiwezekani nchi ina kila sababu ya kuwasaidia wananchi wake wakaishi vizuri lakini kutokana na mfumo mbovu.Hawa jamaa sijui wanalipwa sh ngapi kwa huu ushu.zi wanaopost post humu
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.
Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.
Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.
Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?
Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.
Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.
@zemarcopolo ukilala unawaza CDM, ukiamkia unaiwaza, maana comments zako wewe lazima uitaje CDM. pole sana, sasa kwa hili CDM imekataa vipi watu kujiunga na jkt? sema tu unapoamua kuingia jeshi unakabidhi na roho yako.
nyamaza tu cz leo hii anazikwa classmate wangu amefia huko. Hapa ishu c chadema but kukurupuka kutagharim maisha ya wengi. R.I.P bro!
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
- Idadi ya vifo imefikia kiasi gani???
- Wanapewa mazoezi makali kupitiliza au???
- Taarifa za wakuu wa kambi zinasemaje???
- au ndo hivyo ajari kazini.
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.
Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.
Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.
Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?
Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.
Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.
Kaka unapiga siasa huku wengine huko wanalia kwa kupoteza watoto wao waliowasomesha kwa taabu! Kuwa na moyo na akili inayofanya kazi na sio kufikiria tumbo lako! Mbele za Allah hakuna CCM wala CDM! Uraiani unakosema wewe ni wapi? Umekaa Lmumba unasema uraiani hakuna vilio!
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.
Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.
Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.
Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?
Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.
Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.
Mkuu naona kama habari hii imeletwa hapa kuwatisha vijana au siyo? Usije na wewe ukawa ni mmoja wapo wa vijana wanao ogopa kwenda JKT ukaishia kutuletea stori ya kutunga!!!!
Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.
Wana jamii naomben 2wa waelewa pale 2napo toa taarifa kwa wana jamii ziwe zina ukweli ndani yake.Nac longolongo..
Acha unafiki..peleka mwanao akifa ndo uje utuambie umeamni kuwa wamekufa...mwezi uloisha ss tumezika mtoto wa binamu
Hawa jamaa sijui wanalipwa sh ngapi kwa huu ushu.zi wanaopost post humu
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
Wamekufa wangapi?mbona mnataka kupinga kila kitu?mnataka vijana wetu wasiwe na uzalendo?kufa jeshini ni kitu cha kawaida kwani jeshi si lelemama.
Mkuu naona kama habari hii imeletwa hapa kuwatisha vijana au siyo? Usije na wewe ukawa ni mmoja wapo wa vijana wanao ogopa kwenda JKT ukaishia kutuletea stori ya kutunga!!!!
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.[/QUO
Wacha porojo mbona sisi hatukufa tena tumetumikia mwaka mzima,siyo nia ya JKT kuua watu kwanza si wameenda kwa hiari yao!au walifikiri jeshi ni kwenda kucheza bongo fleva?matatizo ya kizazi hiki cha DOT.COM cha kula chips na mayai ukiwapa ugali tena dona na maharage wanadai wanaharisha sasa wale nini jeshini na mlo huko ndiyo huo,hawajawahi kushika jembe hata mche wa harage au mahindi hawajawahi kuuona toka kuzaliwa,jeshini unakutana na mashamba yanayohitaji palizi yanaitwa Embakasi,serengeti kulingana na ukubwa wake na palizi ni mkono sasa kama hauna ukakamavu umelelewa legelege afya lazima ilete mgogoro tu