Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Uchunguzi wa awali wa sauti zilizokuwa ndani ya kifaa cha kurekodia sauti ya ndege iliyoanguka Ufaransa unaonesha kuwa moja wa marubani wa ndege hiyo alikuwa amefungiwa nje ya eneo la marubani wakati ndege hiyo ilipoanguka.
Aidha haijabainika kikamilifu alikuwa ameondoka kufanya nini lakini sauti zinasikika akibisha kwa nguvu akitaka ufunguliwe mlango.
Duru za kuaminika zinanukuliwa na jarida la New York Times.
Mkuu wa shirika la ndege la Lufthansa amesema kwa kinywa wazi kuwa kuanguka kwa ndege hiyo kuna hila hila.
''hakuna maelezo kamili ya kiini cha ajali hiyo ''
''Ndege hiyo ilikuwa imefanyiwa ukarabati majuzi tu wala haikuwa na hitilafu yeyote''.
Mdau weka Link basi tuisome
France plane crash: Why pilot may have been locked out - CNN.comMdau weka Link basi tuisome
kweli kabisa bora aweke link tujisomee wenyewe...jamaa utafikiri hataki watu wengine tuelewe...
Lakini si wote walikufa? Dah, kuna walakini hapo kwanini aliamua kufanya hivyo.
Lakini si wote walikufa? Dah, kuna walakini hapo kwanini aliamua kufanya hivyo.
Asante sana,hapo sasa watu watapata pa kuanziaWakuu nimeweka source. Ndo Breaking news alasiri hii
tuuu leitiNaamini wataanza kumfuatilia kumjua alikuwa ni mtu wa namna gani nje ndani.
Lakini si wote walikufa? Dah, kuna walakini hapo kwanini aliamua kufanya hivyo.
nilidhan hii ni link ya habar,wewe mtata
Kama mtu anaweza kuamua kujiua mwenyewe, na mtu anaweza kuwa na akili mbaya ya kutaka asife peke yake, afe na wengi, hakuna cha kushangaza hapo.
Hiki ni kitu ambacho nikiwahi kufikiria baada ya 9/11. Kwamba watu wanafanya juhudi sana kuhakikisha terrorist hawaingii na silaha kwenye ndege, lakini vipi siku moja kama pilot mmoja akaamua kuangusha ndege, akamtime mwenzake katika, akamfungia nje na juangusha ndege?
Watu wana ma frustration kibao socially, economically etc.
Nilichofikiria naona ndicho kilichotokea kama hizi habari ni sawa.
That's the latest mystery stemming from the crash of Germanwings Flight 9525. Audio from the plane's cockpit voice recorder reveals one of the pilots trying to smash down the cockpit door in the minutes before impact, The New York Times reported, citing an official involved in the investigation.
Geoffrey Thomas, editor-in-chief and managing director of airlineratings.com, said the cockpit door has three positions -- locked, normal and unlocked. Locking the door prevents a pilot from using a keypad and emergency code to get in.