Vifaranga wa Bata mzinga wanapatika

Vifaranga wa Bata mzinga wanapatika

bahati30

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,625
Reaction score
883
Vifaranga wa bata mzinga wanapatikana kwa bei ys Shilingi 15,000. Kwa watakaohitaji wakuje kupitia namba hii 0753249862. daslam
 
Si ndio hayanaga midomo haya au?
 
Si ndio hayanaga midomo haya au?
Kuna jamaa aliwahi kusema sijui sisi wabongo tuna nn utadhani wachawi mtu anatangaza biashara yake mtu mwngine anatokea anaanza kuleta negative thought hii sio fresh ingekuwa product kutoka nje huoni negative op. Ila product zetu tyr mtu ashaanza kuponda .hivi kuna kiumbe hai hakina mdomo kweli hususan wanyama aaaaah
 
Una maanisha nini kiongozi? hayana mdomo kivipi?
Kuna mabata hivi nayaonaga hayana midomo, sehemu ya mdomo imetepeta kuna kama linyama hivi sijui huwa yanakulaje ndio hayo mabata mzinga?
 
Kuna jamaa aliwahi kusema sijui sisi wabongo tuna nn utadhani wachawi mtu anatangaza biashara yake mtu mwngine anatokea anaanza kuleta negative thought hii sio fresh ingekuwa product kutoka nje huoni negative op. Ila product zetu tyr mtu ashaanza kuponda .hivi kuna kiumbe hai hakina mdomo kweli hususan wanyama aaaaah
Sijaponda mkuu, ila kuna mandege nayaonaga huku mtaani kwetu hayana mdomo yana keleleeee ndio nimeuliza hayo ndio huwa mabata mzinga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom