wakuu nisaidieni ,, vifaa wanavyotumia kuchezea movies zao hasa Holywood unakuta wanatumia slaa nzito, vifaru, n.k.. je?? hivi vifaa wanapewa na nani??
Kuna kitu inaitwa computer generated images ( CGI)..hvo vifaa ni fake tu au havipo kabisa yani vimeundwa na computer. kuna series inaitwa game of thrones niliona making yake nikajiona ---- sababu nilikua najiuliza majumba ya zamani mazuri hivi wanayatoa wapi kumbe wako chumbani wanaongea then wanatengeneza.niliona wanatengeneza mpaka winter mzee.