Vifaa vya Yapi Merkezi Mkandarasi wa SGR Kupigwa Mnada ?

Labda mkandarasi alilipwa hela yake ya ujenzi akijisahau akala bila kujua anatakiwa kufanya kazi. We tulia hivyo hivyo. Kikwetu tunasema hiviiii; Nanukuu "Mafuwe alioka ndusu" Wenye tafsiri wailete hapa.
Nyani wanasuka nyuzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haya yanaweza kuwa ni matokeo ya kutoa tender kwa makampuni yasiyo na uwezo/ya kifisadi.

Kina Zitto wanapopiga kelele taratibu zifuatwe kwenye maswala ya tender, bajeti na mengineyo, watu hawamuelewi sasa haya yanaweza kuwa ndio matokeo yake unless serikali ndio imeshindwa kumlipa mkandarasi kulingana na mkataba na matokeo yake na yeye anashindwa kutimiza majukumu yake kwa kukosa fedha.
Yani we jamaa huyo zito sijui kakupa nini. Kama hujui ttz ni nini kelele za zito zinahusiana na nini ktk hili?Mara ngapi wakandarasi huwa wanachemka kazi na sio kwamba shida ni serikali?Je huko kote ni zito kutosikilizwa?Huyo zito ni nani ktk hii nchi kwamba ye awe reference ktk kila jambo?
 
Hahahahah jeshi litajenga SGR wasitucheleweshe nishaongea na Mabeyo alete mizinga, vifaru, rocket launcher tutajenga sisi hao mabeberu hawapendi tujenge SGR yetu
Jeshi wako busy na korosho, sasa ni zamu ya polisi kujenga SGR.
 
We nae tumekuchoka na Zito wako, kila kitu zito, zito mkuuu vipi hunaga rejea nyingine. Kwa taarifa yako zito ni kilaza mmoja mmoja mzuri tu, data ambazo huwa analeta hapa huwa anawasikiliza wenzie then anakuwa wa kwanza kupost bila kufanyia tafiti yoyote.
Ahsante kwa kuliona hili,saiz wamehamia kwa zito.kipindi hicho ilikua lisu lisu lisu yaani kila jambo.Hawa jamaa Wakikarrshwa kitu huwa tabu sana kuwabadirisha. Lkn sawa coz ni moja ya sifa za nyu*****mb**
 
Haya yanaweza kuwa ni matokeo ya kutoa tender kwa makampuni yasiyo na uwezo/ya kifisadi.

Kina Zitto wanapopiga kelele taratibu zifuatwe kwenye maswala ya tender, bajeti na mengineyo, watu hawamuelewi sasa haya yanaweza kuwa ndio matokeo yake unless serikali ndio imeshindwa kumlipa mkandarasi kulingana na mkataba na matokeo yake na yeye anashindwa kutimiza majukumu yake kwa kukosa fedha.

Kuna jamaa yangu amekuwa-Subcontracted kazi fulani na hawa jamaa..huyo mkandarasi kila siku ni kulialia tu...Siku moja jamaa yangu akamuuliza mbona unalialia sana kuhusu hela wakati una mradi mkubwa kiasi hiki...Jamaa kwa masikitiko makubwa akamwambia we acha tu hii kazi bwana tulipewa kwa sababu sisi ndo tulikubaliana na discount kubwa iliyoamriwa na Jiwe katika tender zote...Sasa hapa nilipo nafanya kazi kwa shida sana maana inawezekana hata hii kazi isinilipe....Kwa hyo kuna uwezekano kweli jamaa kashindwa kulipa ushuru au labda hajalipwa
 
Sasa hivi jamaa hachelewi kumpigia Gen Mabeyo kumwambia Jeshi wakajenge SGR..
"hawa Wakandarasi wa Uturuki wametuchezea vya kutosha..."
 
Haya yanaweza kuwa ni matokeo ya kutoa tender kwa makampuni yasiyo na uwezo/ya kifisadi.

Kina Zitto wanapopiga kelele taratibu zifuatwe kwenye maswala ya tender, bajeti na mengineyo, watu hawamuelewi sasa haya yanaweza kuwa ndio matokeo yake unless serikali ndio imeshindwa kumlipa mkandarasi kulingana na mkataba na matokeo yake na yeye anashindwa kutimiza majukumu yake kwa kukosa fedha.
we jamaa sio bure
 
We ujue tu hali ni mbaya na ndio maana waziri wa fedha amelia bungeni kushindwa kutekeleza mpango wa serikali.

Walivyokuwa wa ajabu jana wakajitishwa na zigo la korosho huku kulikuwa na option ya kuruhusu wafanyabiashara wanunue kwa bei ya 2,700 alafu serikali ijazie hiyo sh 300 badala yake wakaamua kununua kwa bei ya shilingi 3,300 huku bado kuna gharama za kusafirisha na kuhifadhi hiyo korosho,kuibangua, kulipa posho wanajeshi, kuwalipia chakula , malazi, n.k.
sasa ndo ulie?
 
Haya yanaweza kuwa ni matokeo ya kutoa tender kwa makampuni yasiyo na uwezo unless wao kama kampuni sio chanzo.

Kina Zitto wanapopiga kelele taratibu zifuatwe kwenye maswala ya tender, bajeti na mengineyo, watu hawamuelewi sasa haya yanaweza kuwa ndio matokeo yake unless serikali ndio imeshindwa kumlipa mkandarasi kulingana na mkataba na matokeo yake na yeye anashindwa kutimiza majukumu yake kwa kukosa fedha.

kwa siku unatamka jina la zitto mara 6, na bado...kazi mnayo mlimkataa huyo
 
Hahahahah jeshi litajenga SGR wasitucheleweshe nishaongea na Mabeyo alete mizinga, vifaru, rocket launcher tutajenga sisi hao mabeberu hawapendi tujenge SGR yetu
Kuna wakati alikwenda kukagua ujenzi sasa labda,...…….
 
Kuna jamaa yangu amekuwa-Subcontracted kazi fulani na hawa jamaa..huyo mkandarasi kila siku ni kulialia tu...Siku moja jamaa yangu akamuuliza mbona unalialia sana kuhusu hela wakati una mradi mkubwa kiasi hiki...Jamaa kwa masikitiko makubwa akamwambia we acha tu hii kazi bwana tulipewa kwa sababu sisi ndo tulikubaliana na discount kubwa iliyoamriwa na Jiwe katika tender zote...Sasa hapa nilipo nafanya kazi kwa shida sana maana inawezekana hata hii kazi isinilipe....Kwa hyo kuna uwezekano kweli jamaa kashindwa kulipa ushuru au labda hajalipwa
Mkuu huyo sub kapewa kipande gani maana kuna jamaa yangu anadai huko tokea mwezi wa sita hajalipwa
 
Ahsante kwa kuliona hili,saiz wamehamia kwa zito.kipindi hicho ilikua lisu lisu lisu yaani kila jambo.Hawa jamaa Wakikarrshwa kitu huwa tabu sana kuwabadirisha. Lkn sawa coz ni moja ya sifa za nyu*****mb**
Zito nae anajua kutumia akili zao kweli, anajitahidi kutafuta jina kwa nguvu, mimi ninaloshangaa kwa Zito, kila kitengo yeye ni mbobezi iwe sheria, uchumi, biashara, uhandisi kilimo, ufugaji vyote yeye ni mbobezi
 
Labda mkandarasi alilipwa hela yake ya ujenzi akijisahau akala bila kujua anatakiwa kufanya kazi. We tulia hivyo hivyo. Kikwetu tunasema hiviiii; Nanukuu "Mafuwe alioka ndusu" Wenye tafsiri wailete hapa.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi.
by LINGUIST.
 
Zito nae anajua kutumia akili zao kweli, anajitahidi kutafuta jina kwa nguvu, mimi ninaloshangaa kwa Zito, kila kitengo yeye ni mbobezi iwe sheria, uchumi, biashara, uhandisi kilimo, ufugaji vyote yeye ni mbobezi
Huenda zito akaingizwa kwenye records za binadamu wanaojua kila kitu. Hahahahahahah.
 
Katika gazeti la Daily News la tarehe 12 November 2018 kuna tangazo kutoka TRA kuwa vifaa vinavyotakiwa kutumika kwa ujenzi wa reli ya Standard Gauge ambavyo vipo bandarini vitapigwa mnada endapo vitashindwa kulipiwa ushuru.
Je hii inaamaanisha mkandarasi ameshindwa kulipa ushuru ?
Unaambiwa hali ni mbaya hadi wakandarasi wanakopwa , sasa mnataka watoe wapi hela za kulipia ushuru ?
 
Back
Top Bottom