Ruyama
JF-Expert Member
- Sep 6, 2019
- 367
- 563
Nimekosa usingizi yaani nondo mm 12 ilikuwa 20 jana nimekwenda kuulizia lengo ni maandalizi ya ujenzi naambiwa ni elfu 26, hivi kweli tutajenga kwa namna hii material ya ujenzi kupanda Bei?
Aisee mambo ni magumu mnoo zaidi tunavyochukulia, mishahara iko pale pale haijapanda lakini vitu bei juu.
Aisee mambo ni magumu mnoo zaidi tunavyochukulia, mishahara iko pale pale haijapanda lakini vitu bei juu.