Vifaa vya mashine za kihaidroliki

Vifaa vya mashine za kihaidroliki

Mapango ya Amboni

Senior Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
106
Reaction score
111
Waungwana, habari zenu! Ningependa kujua kama kuna kampuni, duka au kiwanda nchini Tanzania kinachouza na /au kutengeneza vifaa vya kihaidroliki kama hydraulic pumps, solenoid valves, hydraulic cylinders pamoja na hoses na fittings. Hasa ninakusudia vile vitumikavyo kwa ajili ya industrial hydraulics yani kwenye mashine za kihaidroliki kama hydraulic presses, press brakes n.k na si kwenye mobile hydraulics kama tinga-tinga, forklift au gari za taka taka (ingawa baadhi ya vifaa vinatumika kote kote)

Asanteni.
 
Nicheki bosi kwa namba 0684420141
 
Back
Top Bottom