Ndugu wana JF, habari zenyu !!!!?
Mie ni soko la ndani na nje kwa vifaa vya mahospitalini (Hospital Equipments) na vitendanishi (reagents) mbalimbali.
Nina uzoefu katika usambazaji na uuzaji wa vitendea kazi hivyo.
Kama una pharmacy, au hospital au kituo cha afya, au dispensari au maabara na ungetaka nikuuzie vifaa au vitendanishi, tafadhali usisite kuwasiliana nami.
Pia pengine umeanza ujenzi wa hospitali/kituo cha afya/ kliniki nk; na ulikuwa unafikiria utapata wapi vitendea kazi, naomba unipe kazi hiyo ya kukuletea mkoa wowote hata kama kituo chako kiko vijijini, nitakufikishia.
View attachment 446310View attachment 446312 View attachment 446311 View attachment 446315
Nitakutafutia kila kitendea kazi kilicho ndani ya uwezo wangu na tutafanya biashara vizuri.
Nakaribisha pia wahitaji kutoka nchi za Msumbiji, Malawi, Zambia, Congo, Burundi, Rwanda, Sudani ya Kusini na kwingineko, mzigo utakufikia tu.
Tuma quotation yako au order yako kupitia email hii
johnselcius.js@gmail.com au nipigie +255 786 187 408; namba ya Whasapp ni +255 768 441 304.