Vifaa vya Butcher ya Kisasa

Chona

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
523
360
Wakuu kuna ndugu yangu anatakufungua Butcher ya kisasa Mkoani. Ameniagiza nimtafutie vifaa kwa ajili ya ofisi yake hiyo mpya kwa hapa Dar. Nadhani vifaa kama machine ya kukatia nyama, mizani ya kupimia nadhani nikipata ile inayopima kwa digital, vyuma vya kutundikia nyama (viko kama hook) na vitu vingine maana mie mwenyewe si mtaalamu sana wa vifaa hivyo. Kwa hiyo ninaomba kama kuna mtu anajua duka au mahali ninapoweza kufika na kununua vifaa hivyo anielekeze. Anasema anataka anunue Dar kwasababu huenda ikawa ni bei nafuu kulinganisha na Mkoani kwake lakini pia usafirishaji si tatizo kwake. Kwa yeyote mwenye kujua anijuze tafadhali.
 
Hembu pitia Mwenge kama unaenda maghorofa ya jeshi kuna bucha za kisasa kama hiyo sampuli unayotaka wanaweza kukuelza wanakopata hivyo vifaa
 
Hembu pitia Mwenge kama unaenda maghorofa ya jeshi kuna bucha za kisasa kama hiyo sampuli unayotaka wanaweza kukuelza wanakopata hivyo vifaa

Asante sana mkuu. Nitapita huko niwaulize mahali vinapopatikana.
 
Back
Top Bottom