Vifaa gani vya ujenzi ni bora ( vigae, gypsum board etc)

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,954
Reaction score
7,007
Wadau ninaomba ushauri as kwa watu wa Dar es Salaam juu ya yafuatayo juu ya vifaa vya ujenzi vilivyo bora:
1. Vigae vya Trywood vs Good one in vipi bora?
2. Gypusm board kazi ya zile za Thailand na Tanzania
3. Gypsum mikanda ya Tanzania ya katani vs mikanta kutoka nchi zingine
4. Masinki bora ya vyoo ni yapi bora yasiyoharibika ovyo.

Asanteni kwa ushauri.
 
Mi najua gharama mara nyingi inatathimini ubora
 
Wadau ninaomba ushauri as kwa watu wa Dar es Salaam juu ya yafuatayo juu ya vifaa vya ujenzi vilivyo bora:
1. Vigae vya Trywood vs Good one in vipi bora?
2. Gypusm board kazi ya zile za Thailand na Tanzania
3. Gypsum mikanda ya Tanzania ya katani vs mikanta kutoka nchi zingine
4. Masinki bora ya vyoo ni yapi bora yasiyoharibika ovyo.

Asanteni kwa ushauri.
No 1 sina comment. Zaidi nitakwambia ujibane uende kwa Spanish
No 2 Chukua za Thailand
No 3 pia nakupeleka ya nje ya nchi. Chukua ile myembamba iliyo plain. Achana na ile mipana yenye maua maua.
No 4 nitakupeleka Castleware au Arror.

Asante
 
Back
Top Bottom