ALL IN ONE
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 272
- 190
Msaada wakubwa kwa ambao mnatumia acessories (tools) kwa ajili ya kutengenezea computer yako kama utanisaidia kuzilist ili niweze kushare nanyi maana kuna kabiashara nakafanya kwa ajili ya ku-repare computer!
naanza na AIRBLOWER!
ntashukuru kama tutashare hapa
naanza na AIRBLOWER!
ntashukuru kama tutashare hapa