Viettel Wamekuita kwenye Interview?

nakubaliana na Bw. Rearden ,hata mimi wameniita kuanza kazi kwa kiwango hicho cha malipo ,nikawauliza kwa nn mnapanga malipo ninyi kabla ya kujua kiasi ninachohitaji ? Jibu lao lilikuwa hiko ndio kiwango cha mtu wa IT katka kampuni ya simu.

ki ukweli sijaungana nao ingawaje wamenitafuta kama mara tatu nijoin nao kwa rate hiyo ya malipo. Na wanadai wataanza kuoperates rasmi mwakani nchi nzima na kwa mfanyakazi atakaye onesha performance nzuri kwa 100% au 95% ataongezewa tsh.60000 kwa mwezi huo.
 
Hawa washikaji walinipatia kazi...kuchek mshahara kumbe laki nne....wala hata sikutaka kuanza kunegotiate nao maana niliona wamenidharau sana...nikajiondokea zangu kimya kimya. Maana kuupandisha zaidi ya kilo saba na nusu ninayolipwa sasa afu mimi naiona ndogo sana ni kitu ambacho hakiwezekani...
 

nahis huyu Mangi ni mfanyakaz wa moja ya mitandao ya simu iliyopo na ni dhahir hii kampuni inawanyima usingizi
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Don Mangi wajinga kama wewe huwa hawapigwi ban ili waendelee kujifunza. Naamini mpaka sasa umejifunza mengi kuhusu mambo uliyokuwa huyajui hususani hili la Viettel.
 
Last edited by a moderator:

...ur very ill-minded person, yaani hizo taarifa unazozitoa humu kimsingi unaziokota humu humu, na vile ulivyo na cheap mind hufanyi hata research angalau hata ujiridhishe, unakurupuka tu kifua mbele, vdhiethel hhaipho!!!, ka kuna watu aisee, kitu kina exist wewe unang'ang'ana tu haipo, kama haipo wewe kaa kimya na uache kuwa discourage wengine,

huna hata point 1 ya kueleweka zote zina hang tu.
 

Nenda,mi niliitwa nikafanyiwa online test,ukipita hiyo utafanyiwa oral test,basi,hawakuombi hela wewe nenda.
 
Haya_kaajiriweni_huko_mnakotaka_na_kampuni_za_wawekezaji_maskini_eti__kampuni_inatoka_vietnam_inakuja_kuwekeza_tanzania_shenzi_kabisa
 
Mbona MIC Tz wanajiita TIGO? Nao ni matapeli??? Ukiingia mkataba nao wanaandika MIC Tz mbona hawaandiki TIGO Tz? Hii sio fact.
Suala la mishahara kweli ni shida, one of my classmates alipangiwa kazi Kigoma 400k akagoma. Kwa hiyo kila mtu na maslahi yake. Mu huko mkoan bora unilipe lak3 hapa hapa mjini.
 

Best usipotoshe watu Vietel ni kampuni halali ipo victoria gepf 2nd floor
 
achana nao.ni matapel tu hao.hakuna kampun inayoitwa viettel iliyosajiliwa kuoperate tanzania.endelea na shughul zako nyingine wala usiende kwenye hzo interview zao...kwan utakua unajipotezea muda wako bure

Office yao ipo GEPF 2nd Floor, maeneo ya Victoria. Imesajiliwa BRELA, ni member wa NSSF etc etc.
Now wanaanza ujenzi wa miundombinu yao km towers etc etc muda c mrefu.
Kila mkoa na wilaya wana office.
Mkuu je hiyo ni office ya kitapeli...?

Fanya utafiti kabla ya kuja hapa FJs, usiliangushe jamvi letu zuri la habari...
 
Hivi jamani tumuamini nani sasa?

Au tuanzie wapi kujua ukweli! ?
Agrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…