Ni wasumbufu sana, inteview zao huwa hazina mfumo maalum. kw mf. mimi nilifanya online & then nikaitwa oral 2 times ambazo zilihusisha professional na mshahara. kiwango chao ni 400 uwe na degree au chet. hawapo makini
Ni kampuni inayoexist na wanalaunch very soon kabla ya July.
Ofisi zao zipo GEPF house, 2nd floor.
Mi ni supplier wao so nawajua vilivyo, sio wababaishaji. ila kwenye maswala ya mshahara sio wazuri may be badae ndo watareview waanza kulipa vizuri.
kuna kazi wametangaza PUBLISHED JOBS wanaajiri tena deadline May 8 2015.
Kaka hukuzaliwa ufanye kazi na Viettel. Kama hakulipi ondoka. Usikatishe tamaa wengine. Kuna watu hawana hata ajira, hicho kiasi kidogo wanapokea. Hiyo kampuni inalipa mishahara hiyo wakati hata uzalishaji haijaanza, unadhani pesa wanatoa wapi?

Pole mimi mkuu? Pole kwa yule anayetaka kuajiriwa na bado analalamika kuhusu mshahara. Wataka ulipwe kiasi gani unapoajiriwa? unalinganisha na nani? Kwa kazi ipi uliyofanya? Wewe umeajiri hata housegal kwako nyumbanii? na unamlipa kiasi gani?Nachoweza kukwambia ni neno POLE tu
Wao wanadhani hiyo biashara ni sawa na kufungua duka la jumla...hapo ndo ujue wabongo wanataka hela pasipo na kazi.....hii kampuni ni mpya na wala haijaanza uzalishaji km ulivyosema lakini watu wanataka walipwe km wapo tigo au voda....wawaulize mainjinia walioanza voda walikuwa wanalipwa sh ngapi kabla ya makaburu kuondoka?review ya mishahara watakapoanza uzalishaji ni lzm utafanyika tu..........mnao ikimbia sasa mtaikimbilia baadae.