Viettel Telecommunication Company

Viettel Telecommunication Company

mi nilihisi kwenye pay itakuwa magumashi nina ka uzoefu ka hawa wanaoanza na kaujiri watu wengi.....yetu macho
 
Come on ndugu supplier unaongea nini sasa wewe!!!

Au unataka niseme mi nafanya nao kazi tena level ya management ndo ujue nawafaham vilivyo.

Au mpaka niseme wana mpango wa kulaunch mawasiliano July 2015 kwa maelekezo ya CCM ili chama kizee watumie hiyo kama kete kwenye kampeni ndo ujue ninawahamu hawa Waviettnam.??

Au mpaka niseme huwa wanawakata wafanya kazi wao PAYE na Insurance alafu hawapeleki hizo fedha kwenye taasisi husika (NSSF, LAPF na TRA) ndo ujue nawafahamu hawa matapeli???

Au unataka niseme wafanyakazi wao wanapewa mikataba ya muda mfupi sana ndo ukubali nawajua hawa wahuni???

Au unataka niseme managers wao (waviettnam) wanapenda sana 10% kwa suppliers wao ili wakupe kazi ndo uelewe????

Au unataka niseme wanawanyonya sana waswahili katika mikataba ya kuweka minara yao huko mitaani; watu wanalipwa hadi Tshs 900,000 kwa mwaka kuwakodisha hawa waviettnam maeneo ya kuweka minara.

Au unataka niseme wengi wa hao waviettnam wanafanya kazi hapa nchini bila vibali vya kukaa Tz wala vibali nya kufanya kazi ndo ujue nachokiongea???

Wewe unaongelea nje ya mlango mi naongelea chumbani, tuheshimiane.
Narudia tena hawa ni MATAPELI na WABABAISHAJI tu.

UKIFA MASKINI NI KOSA LAKO
Je una mtaji mdogo kama laki 5 mpaka milioni 1 hivi na unatafuta biashara yenye uwezo wa kukupa uhuru wa kipato kabisa?Usikubali kubakia kwenye maishahayohayo kila siku na kila mwaka.Usikubali kubaki kwenye ajira unalipwa laki 5 kwa mwezi sawa na Tsh 1,850 yaani dola moja kwa saa. Ina maana umesoma mpaka chuo kikuu halafu thamani ya lisaa lako moja ni $1 tu!!!!? Ndiyo maana watuwengi waliosoma sana huwa hawawezi kuwa matajiri kwa sababu wanauza muda wao kwa "bei chee" halafu siku zinazidi kuyoyoma haoni mafanikio. Huku tena ana mkopo wa gari nk. Makato na marejesho... Kwa nini usife masikini kwa style hiyo.?
Shida ni kwamba watu wanaabudu sana kuajiriwa wako tayari watoe hata rushwa ya ngono (kwa wadada) ili tu eti wajiriwe. Ajira imekuwa kama Mungu kwa wengine. Wanafunzi vyuoni wanasubiri kwa hamu kumaliza shule ili wakaajiriwe reception kupokea simu na
kukaribisha wageni.. Seriously?? Halafu unasema umasikini unasababishwa na sijui CCM sijui
Escrow sijui Kikwete hivi unajitambua kweli. Sasa hivi mnapost vikatunivya#ShemejiUnatuachaje ? Hujuimtumaini cha shemeji hufa fukara kabisa. Sikia...maisha bora nimaamuzi yako binafsi. Hapo ulipo kuna watu wanakuuzia vitu kila siku..Wewe unauza nini. Ndo unaamua kuuza muda wako kwa bosi wako.Halafu unashangaa watakuja UKAWA na miaka 10 ijayo hutakuwa na nyumba Masaki bado wala hutaweza kusomesha watoto wako shule bora wala hutaweza kusafiri ukapumzike na familia . Bado utakuwa unakula ugali dagaa wali njegere siyo unapenda ila ndo itakavyokuwa. Dont sell time for money. You will die poor. Utakaaje mwezi mzima ulipwe laki moja na nusu halafu unatumia vocha ya elfu 50 kuja Facebook kulaumu serikali na kumsifia Diamond na Yamoto band ambao hawakujui hata. Watoto wako watakula comment zako au? Change today. Usipobadilika utakufa maskini! Chukua hatua mpya ili upate matokeo mapya! Acha wanaolalamika waendelee kulalamika. Acha wanaolalamikia wazazi waendelee kulaumu bali wewe chukua hatua mpya! Bill Gates anasema: "KAMA ULIZALIWA MASKINI HILO SIYO KOSA LAKO, LAKINI KAMA UKIFA MASKINI HILO NI KOSA LAKO" Unafikiri uongo?
Tukiandika mambo kama haya wengine wanatuona wajinga! Chukua hatua ndugu jifunze biashara unayoweza kuanza kwa laki 5 tu naikabadili kabisa maisha yako! Kama huna tafuta.
Kumbuka tena maisha ni ya kwako na ni WEWE utakayeyabadili! Lowassa, Dr Slaa, na Prof Lipumba hawawezi kukufanya wewe uhamie Oysterbay. Kila Mei Mosi raisi huwa anaongeza
mishahara kwa wafanyakazi. Kwanindo wamekuwa na maisha bora tayari? Jiulize maswali ya msingi.

Mwajiri hawezi kukubadilishia maisha
Haya toka huko chumbani jiajiri utajirike, au ndo baniani mbaya lakini kiatu chake kizuri? acha wadogo wakatafute mitaji wajiajiri.
 
Nimeitwa ktk interview kesho na ntaenda kuhudhuria japo nipate hako kaajira. Mengine hayo baadae.
 
Come on ndugu supplier unaongea nini sasa wewe!!!

Au unataka niseme mi nafanya nao kazi tena level ya management ndo ujue nawafaham vilivyo.

Au mpaka niseme wana mpango wa kulaunch mawasiliano July 2015 kwa maelekezo ya CCM ili chama kizee watumie hiyo kama kete kwenye kampeni ndo ujue ninawahamu hawa Waviettnam.??

Au mpaka niseme huwa wanawakata wafanya kazi wao PAYE na Insurance alafu hawapeleki hizo fedha kwenye taasisi husika (NSSF, LAPF na TRA) ndo ujue nawafahamu hawa matapeli???

Au unataka niseme wafanyakazi wao wanapewa mikataba ya muda mfupi sana ndo ukubali nawajua hawa wahuni???

Au unataka niseme managers wao (waviettnam) wanapenda sana 10% kwa suppliers wao ili wakupe kazi ndo uelewe????

Au unataka niseme wanawanyonya sana waswahili katika mikataba ya kuweka minara yao huko mitaani; watu wanalipwa hadi Tshs 900,000 kwa mwaka kuwakodisha hawa waviettnam maeneo ya kuweka minara.

Au unataka niseme wengi wa hao waviettnam wanafanya kazi hapa nchini bila vibali vya kukaa Tz wala vibali nya kufanya kazi ndo ujue nachokiongea???

Wewe unaongelea nje ya mlango mi naongelea chumbani, tuheshimiane.
Narudia tena hawa ni MATAPELI na WABABAISHAJI tu.

kwani kongi i thought hii kampuni ni ya serikali ya vietnam sasa mbona wanakua na ubabaishaji?

Pili huo ubabaishaji wao ni kwa baadhi ya ma subcontractors tu maana nilishangaa kuona juzi juzi contractor mkubwa kuliko wote mjini hapa anafanya kazi za vietel maana walizisubcontract wetu.?

wakati at the same wakati wanatafuta ma subcontractors kipindi wapo pale sophia house sisi tulishindwana nao bei maana bei yao per site ni ndogo mno.. so i think they are biased
 
Kwa mishahara yao hawako vizuri ila kama huna mubadala jiunge nao.Mishahara ni Tshs 400,000/= gross alafu no overtime or allowance.
 
Back
Top Bottom