Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,845 Reaction score 4,776 Dec 26, 2019 #1 Kuanzia Jana nikiwasha PC na kuingia JF kuna vidubwasha vyeupe vinakuwa vinapita pembeni ya screen kama vinaanguka chini, VINANIKERA BALAA. Sijui vina maana gani, viangalie kwenye video hii Your browser is not able to display this video.
Kuanzia Jana nikiwasha PC na kuingia JF kuna vidubwasha vyeupe vinakuwa vinapita pembeni ya screen kama vinaanguka chini, VINANIKERA BALAA. Sijui vina maana gani, viangalie kwenye video hii Your browser is not able to display this video.
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,177 Reaction score 14,153 Dec 26, 2019 #2 Vinakuwish merry Christmas....ndo vimeprogrammed viwe hivyo..
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,287 Reaction score 129,485 Dec 26, 2019 #3 zawadi hizo toka kwa demu wako wa JF